Kitu Sewer - Angalia Saa lyrics

Published

0 2240 0

Kitu Sewer - Angalia Saa lyrics

Intro (Kamah) Na-dedicate-ia hii Ma-hero wote wa Kenya Kila mtu ame-struggle Ako paid for Hii ni time ya kuwa paid for Revolution na ma-comrade Chorus (Winyo) Najua unachotaka Najua unapoenda Najua wataka haki yako Angalia saa Angalia saa Najua unachotaka Najua unapoenda Najua wataka haki yako Angalia saa Angalia saa Wewe ni shujaa Machozi yako Yananivunja moyo Mbona sasa Dunia imekutupa Angalia saa Angalia saa Wewe ni shujaa Verse 1 (Winyo) Tell me What's going to Be without you in this world Can't you See that You're a hero Can you see a sign Can you see a sign You're a hero I know what you going through I know what's been on your mind I know you're almost giving up this war Usikate tamaa Usikate tamaa Wewe ni shujaa Wewe ni shujaa Wewe ni shujaa (Kamah) Damu jasho machozi Mau Mau ikashinda war mashabik wakaenda na trophy Matigari hana ata ka-ploti Serikali inataka imfukuze Nairobi Mangaa wanataka wamangishe G-Rongi Hawana kodi They don know who we be haikosi White highlands no more Si siri hawatoshi Hii vita imepita rangi ya ngozi Na kabila najua ni mbili tu Maskini na mdosi So synchronising time 205 Decolonizing minds Msisemi mliji-hypnotise Wana-run divisions za sheke wa kifiro Bugi mato Mtu anatusi matiti ya mother alinyonya Alafu anapigiwa makofi na kilo Wa-shoot Muthoni wa Nyanjiru The same route wa-rape mama yetu Njeri Hizi ndivyo trial ya ma-hero Ka Kenya ni matrix nani ndio Neo Ka Kimathi hakuwa the one Then society iko drunk na opium Ilivyosemekana na Karl Marx Na philanthropic church Na-pay tax kuwa hara**ed daily Mothers can't even protect their babies Wanaume hawaezi protect ma-ladies Wao haki iwe ngao Vita vya bunduki skia mikuki Bullets ivuke nayo Tangu era za nyayo Wanakumanga msee Chorus Usikate tamaa Usikate tamaa Wewe ni shujaa Wewe ni shujaa Wewe ni shujaa Verse 2 (Kitu Sewer) Tukiwapasulia pazia tu-expose Zile ghasia nyi hufanya Mtatukuta kwetu mtatuvamia Hiyo ilikuwa last year Nilidhani mta-add this year sense Kwa wimbo zenu tulisinzia Bado mnasinzia this year Unaeza teta ukishukiwa kimakosa Unaeza tema ukishibishwa uongee mbaya Unaeza hepa ukinusiwa Unaeza tema ukizidiwa Hakuna haja ya kuji-force kitu hautaki Si unajua vile kwao huenda Mgema akisifiwa Writer m-famous aliibiwa Na wife yake aka-rape-iwa na Hiyo ndio asanti alipatiwa Kufanya nini Kuwatolea ma-idea za kuwasaidia Kuwabadilishia city Ukuta zote si ni through Ka mng'aro ya poko Ya ku-expose part ya juu ya mguu Ukiandika ma-a**asinations Ma-sniper maarufu Opposite building kwa roof Maiti zinaachwa kwa boot ya ndai Booth zinameza dough Time yako ya kuongea imeisha Adui wanakuwinda na harufu Kwa ile roho safi na moyo mkunjufu Ka Munyakei kuanzisha corruption zero tolerance Na kufungulia kesi ya Goldenberg alipewa asante gani Account iliarishwa design ya cholera Tushavumilia viboko chini ya ma-slave master Hadi kupigwa na mayai ya kuoza ka Kenyatta Chorus Najua wataka haki yako Angalia saa Angalia saa Najua unachotaka Najua unapoenda Najua wataka haki yako Angalia saa Angalia saa Wewe ni shujaa Machozi yako Yananivunja moyo Mbona sasa Dunia imekutupa Angalia saa