Kidum - Haturudi Nyuma lyrics

Published

0 308 0

Kidum - Haturudi Nyuma lyrics

Verse 1 nieleze vipi mimi ntaweza kuishi bila wewe ukiniacha ukienda zako, penzi wewe kama ni ukweli, yale nasikia kwa majirani ya kwamba utakuja kwenda zako uliniahidi, tutakuwa tukijadiliana na maswali yangeleta utata kwa nini chinichini unanificha yanayokusinya lakini unayosema, ni majirani kwa nini kando kando unanificha yanayokuudhi lakini unayateta kwa marafiki ukiniacha mi ntalia ukienda zako ntabaki naumia kama ungelijua uoga ni lao, kukupoteza ndio nasema, baby Chorus nakuomba please ubaki nami nasema penzi nakuomba ubaki, tujaribu tena, tunayo nafasi ya kuanza tena tunayo nafasi ya kujikosoa, haturudi nyuma kamwe haturudi nyuma kamwe Juliana wee Verse 2 watu wanasema kama karibuni wee unaoa tena ya kwamba nianze kujipanga si ukweli, nimekataa ni tahadhari kubwa kwangu, na unanitisha sijui nimekosea wapi uliniahidi kama kila jambo lote la nyumbani ni muhimu kuliweka wazi Ni kuki shenge Uguma buri gihe umbabaza Kandi uzi ko ngukunda Ni kuki rukundo Uguma untera umujinya Ukica amatwi ngukunda ukiniacha mi ntalia ukienda zako ntabaki naumia kama ungelijua uoga ni lao, kukupoteza ndio nasema, baby Chorus nakuomba please ubaki nami nasema penzi nakuomba ubaki, tujaribu tena, tunayo nafasi ya kuanza tena tunayo nafasi ya kujikosoa, haturudi nyuma kamwe haturudi nyuma kamwe