Kenzo - Hey You lyrics

Published

0 80 0

Kenzo - Hey You lyrics

VERSE 1 LYRICS: Imenibidi mimi niseme, ninyamaze nani aseme mambo gani haya jamani? Wanaume tumezoea mali ya mwenzio si yako, so wacha kunyemelea kama ni yako, ni yako na kama si yako, wachana nayo CHORUS LYRICS: Hey you, mi nasema nawe... usiwe mwenye tamaa, mwenye tamaa... mtaka vyote hukosa vyote, so tangaza msimamo VERSE 2 LYRICS: Ukona msichana wa kwako, na yeye ni mwaminifu kazi yako kuchapa ilale, wajiita mwanaume kama hujapanga kutulia, ya nini kuwapa moyo kuwadanganya ovyo ovyo, mabeshte ninawaomba kama wampenda, mwambie na kama humpendi, mwambie usije ukamvunja moyo CHORUS LYRICS: Hey you, mi nasema nawe... usiwe mwenye tamaa, mwenye tamaa... mtaka vyote hukosa vyote, so tangaza msimamo Hey you, mi nasema nawe... usiwe mwenye tamaa, mwenye tamaa... mtaka vyote hukosa vyote, so tangaza msimamo