Ken Ring - Siku Moja lyrics

Published

0 209 0

Ken Ring - Siku Moja lyrics

[Intro] Siku moja unajua Kila mtu anataka kukaa fresh nini! Watu wamechoka na hii form bana! Kila mtu anagonja ati hiyo siku moja tu! [Verse 1] Dini ikakuja, ikatugawanisha Sasa amani hakuna Na kila pande vita Kumebadilika, na shindwa form ni gani Hata kipande sina, na uliza home ni gani Nataka zipande kichwa, pitisha ndom ni-sani Ndio brother nipate picha, nilazwe hospitali Na mimi nipate picha ndio ni-hot ni kali Inatatanisha na mi sisoti ndani Bado tunaishi enzi za utumwa Niki-medidate mambo ya ki-shenzi, ya kikuma Venye hiyo form haiendi freshi yaniuma Nasi-ati mwanajeshi nitajituma One day, vako fulani, na go-stani Serekali imeleta msako mtaani ah! Usiji-pate hapo ndani Eti unaambia afande hapo mwani [Chorus] X2 Siku moja, masela tutaishi freshi Si kugonja, kwenda jela ama kudeadi Siku moja, kwenda peras umeji-seti Siku mo… siku mo… siku mo… siku mo… siku moja! [Verse 2] Mi nataka zangu, mi sitaki zao Kifo-tu pekee ndio inaweza kuni-stop me now Originate, story za ku-copy hao Nashindwa flow gani italeta more money Mambo igongane niweze kuwa na best of home yaani Ah! Hakuna kulala, watu tafutana mishahara Hakuna inshallah ya kutafuna ni msala Ah! Ukizubaa weh watakuta ni fala ah! Either uwe ama huna inshallah ah! Ku-mama-ke, ukipenda ku-baba-ke! Imefika mida masela tuka sake Ama iwe shida kwa jela ndio ka make Kama umeshiba si better tutaanza aje? (Wewe niambie man man tutaanza aje ah) Tunaye fanya kila siku bila kitu huniambii kitu Basi chizi take a chill tu [Chorus] X2 Siku moja, masela tutaishi freshi Si kugonja, kwenda jela ama kudeadi Siku moja, kwenda peras umeji-seti Siku mo… siku mo… siku mo… siku mo… siku moja! [Verse 3] Yeh! Majina rekebisha, hatutagonga msoto Keeping pande ya mitaa, niko na bonge mtoto Na yeye halali njaa, watu wagongwe ngoto Ku-treatiwa ka mtumwa huwa hatutakangangi Man! Mimi nimekunja sura nimevuta bangi Nikiji-cheki kwa kio, naji-chukia sana Eti Johnny ndio huyo, mi nabugia prama Walimwengu sio, eti dunia bana! Wanaume ndio, eti kuumia ama Kwa sasa tu tuzi-roll, tushaumia sana Ama muulize Muliro, tumetulia jamaa Sema kweli man tumetulia jamaa Hakuna kitu mi na weza fanya In the process-tu lakini natengeza mwanya (eh!) International si tuna hustle nao Ni mikasi kwao, ikibidi ni risasi blao! [Chorus] X2 Siku moja, masela tutaishi freshi Si kugonja, kwenda jela ama kudeadi Siku moja, kwenda peras ume ji-seti Siku mo… siku mo… siku mo… siku mo… siku moja! [Outro] Eh man! Unajua yaani ile, yaani ile siku moja mtu ume-chill Yaani, umeskia uko sawa, umepata ile? hakuna eti stress nini Kila kitu iko sawa yaani Yaani unaona mambo ina songa Unapata hiyo form? Kwa sababu hii ingine some time inakuwanga ni issue Hehehe! Yaani man mi naskia poa yaani Hiyo one day najua ndiyo hiyo Si-una ona? Maana, jua, ikitua Kesho yake asubuhi bado itatokea Yaani, form bado itakuwa Sijui kama unanipata? Hiyo siku moja ina-come man! We keep yah head-up yaani Si-unajua man? Eh? One day…(as it fades)