Ken Ring - Scarface Dream lyrics

Published

0 126 0

Ken Ring - Scarface Dream lyrics

[Intro: Lutan] Trah! It's troubling, every day, you know! [verse 1: Vigeti] Tutaona venye mambo itakuwa maana Yap! Anaye jua Maulana Ndugu wako ye atakuua kwa mkwanja Kitu kidogo-tu wanazua mang'ana Weh unajua ni watu ngapi tumezika Yap! Zile mangata tumefika Ndio maana si ma-boys tumedata tumechizika Tuna hasira na maisha haya Dad zetu wazuri wawakilisha umalaya Ma-boys mtaani wanapotea na madawa Na voice fulani mtaa nikiongea unapagawa (eh!) Yap! Kila asubuhi ni kama Siwezi aanza siku bila bui kinyama Hujui ka ni leo ama hujui ni jana Ma-boy wanashindwa huchukui mikwanja Kila mtu yeye anataka-tu ku-make it [Chorus: Lutan] Feels like another Scarface dream It's just another Scarface dream Feels like another Scarface dream It's just another Scarface dream Hustling another day, to make a living Tomorrow may never come but I'm willing To make a sacrifice me never spend time sitting Gotta get to the street in the morning [Verse 2: Vigeti] Kweli! Kila mtu ako nayo, ni kama Johnny ndio hana Itabidi niwe ka Scarface Tony Montana Tuna kujia gold na after hapo hivi platinum Either wata-niuwa ama Kamiti maximum Juu hii biashara ya usenge, kuishi bu*ty man Kufa ni lazima, na kuishi bahati man eh! Yap! Nashukuru Mola Kuanzia enzi za 3D Crew Dandora Ni Cinema, na John Phase II ni noma! Hizi deal napata zilikuja through wakora Ndio maana hata rules mkivunja tuna chora Bado ishi tu ni cash-tu Fungeni mikanda vyenye sisi tuna crush through Tumekuja kuwaharibia bash-tu Ili mdogo mdogo unashtukia umezama Role model gani hii unapatia tu vijana [Chorus: Lutan] This like another Scarface dream It's just another Scarface dream This like another Scarface dream It's just another Scarface dream Hustling another day, to make a living Tomorrow may never come but I'm willing To make a sacrifice me never spend time sitting Gotta get to the street in the morning [Verse 3: Lutan] I see many try religion It left them in a region A new-found faith in information Politics fiction, a bag of ammunition, yes it's a crazy situation Feel like me topsy turvy ……………………………… ……………………………… But the focus is to rise and elevate from slum Right now me bullet-proof strapped down yeah …………………….. …………………….. …………………….. ………………… This like another Scarface dream It's just another Scarface dream This like another Scarface dream It's just another Scarface dream Never come!