Ken Ring - Punchline Kibao lyrics

Published

0 190 0

Ken Ring - Punchline Kibao lyrics

[Hook: Ukoo Flani Mau Mau members, shouting] Tunawapiga bao, tumejihami na ma-punchline kibao Kikosi cha mizinga Ukoo Mau Mau Tunawaharibia kwenye maviwanja zao (Mau Mau!) [Verse 1: Ibra Da Hustler] Ni Ibra Da Hustler, Hustler Da Ibra Mashtaka mashtiba, niko tight kama bik'ra Ibra anatema fikra kama elimu ya Iqra Da Hustler amepinda most wanted kama ajira 5" tall dark n***a Cheki taswira: Ka ulikuwa huna habari hii game nimei-marry Jemedari kama Mula Omari Natema mistari kasi kama risasi, muasi naasi Niko underground kama Marks Mwadui, Ras hunijui Naweza kuwa rafiki pia naweza kuwa adui Mi ni full mrui Natoka nilipotoka mbali Mkatae mkubali, mi MC mkali Wanatambua kila mahali Naharibu sijali, naharibia hata serikali, kwani kitu gani? Naishi kwenye ulimwengu wa generali, naongozwa na Real, sio Madridi Hali inayonifanya kuwa gaidi Na bado nafaidi; niko full ka fidi Force kikosi; Kwenye rap na-boss (click-clack) Nisosi wagosi wanaozindua kaya Kwenye hii sanaa wanaojiuza kama malaya, motherf**er! (gun blast) Ibra Da Hustler! (Spits) [Hook: Johnny Vigeti, singing] Tunawapiga bao, tumejihami na ma-punchline kibao Kikosi cha mizinga Ukoo Mau Mau Tunawaharibia kwenye maviwanja zao (Mau Mau!) X2 (Guns blasting) [Verse 2: ?] I drop flow like Canibus, is this Can-I-Bus? Just like a bus Lose trust, bust your jaw It's y'all loss; Who be the boss? Tossing a lyricall floss, causing earth to be flossing A portion- approach with caution, pausing Extortion fast like the ocean, I stay proposing My first notion is... game erosion, first verse explosion Fakes pausing, hoes are exposing We all lost the Chosen One, the Prodigal Son Worry 'bout the gun; how is goes and how it comes Money ain't funny- streets is hard, cold and dark That's why I spark from the heart part Don't give a fu*k about the chart! From the start, in the neighbourhood dogs bark; Bite victims in car parks in broad daylight put up a fight Try to pull out a knife, lose your life- think twice, aight? Your soul is the price, like a game of dice, cold as ice Red, black or white Red eyes with blood sight; I still write, whether I'm wrong or right Take flights to reach higher heights We get high to get by Struggle to make it, so we hustle and take it Barely making ends meet; and it's unfortunate Forcing it to be what we want it to be The ultimate destiny for infinity, life or d**h to me I gotta pa**- make it fast, HIV in a fat a**, n***a Car accident, my n***as in a fat gas I had beef; Last thing I heard was the blast... of the eagle Not a bird, not a word on the streets The end of the world King of... [Verse 3: Johnny Vigeti] ...Lakini siskii kitu... Yah, niko na home nyingi kushinda ma-boys wa Mike Rabar In fact nishakuwa mkimbizi na John ndio naitwanga Sa si inafaa unipatie hivi ma-chords na mic saba Kwa kuleta hali ya taharuki Toka nduki ka mpangaji mwisho wa mwezi landlord akidai mkwanja Hata kabla nibishe mlango kubabaikanga Wakauche a.k.a Sub Zero (mmh!) Wamefreeze joto, wanadai f'lana Temperature zimepita za huko Mombasa na mbali sana Zinedine Zidane, starting line up ya Real Madrid na hiyo inamaanisha huku hutoboi kudai number Plus striker wao ashachoka, ako hoi anadai sub- ha! Ni mambo na ku-mark territory, kwa hivyo ma-doggy za mitaa zingine hazikojoi mitaani hapa Kuifanya iwe ngumu kwa huyu jamaa wa yoh-yoh ku-buy manga Kunimwagia unga ili kuona unga ya Jogoo ikimwagikanga Saa zingine hata bluu ya madondo sijaipata One-chwani ya taros kwa ile noma nishaihata Situation ukuta nyuma ya mgongo, kashaivana; In the process, I can't take it no more, nadai kamba Tishia kuji-hang hivi... Ama ku-threaten kujirusha kutoka kwa building kama KICC akili zipasuke kwa floor ni-die fasta Juu ma-hater wakisikia hivyo watafurahi sana Wa-smile kushinda yule jamaa anakuwanga kwa promo ya Chai Jaba Buda hivi flani ni-time kwa socks utawahi ganja Alafu tukishajibonga fresh ndio lo! Wataitana (Kwisha) [Hook: Johnny Vigeti, singing] Tunawapiga bao, tumejihami na ma-punchline kibao Kikosi cha mizinga Ukoo Mau Mau Tunawaharibia kwenye maviwanja zao (Mau Mau!) X2 [Outro: Johnny Vigeti] (Laughs) Ama? Back up, nini?