[Female Voice] And I'm tired of this... [Johnny Vigeti] Ken Ring [Ken Ring] Johnny Vigeti Is Back! [Verse 1: Johnny Vigeti] Walisema eti Jonny amekwisha Stori zinatatanisha mpaka hommie sipati picha Wanaojifanya mabeshte wana grudge Wasenge wako quick kunitupia sentence kama judge Eti Johnny hii, Johnny ile Wana-dwell kuhusu story hii hawaoni ile Wana-criticise vako, kwa hiyo negativity ndio mi na-rise up Na sitaki peace, sitaki toto mi ni baba Yap, started from the bottom tuko hapa Ukifanya mistake kurudi kwa msoto jo ni fasta Halafu kivipi utalisha watoto? Jo, ni blunder! Five plus ma-junior lazima tu washibe Monday Ikibidi tu nibonge ya stick up we unipe zangu Mchizi niko kwenye grind kamilisha mission tangu '94 machozi damu kisha kumwagike damu [Hook: Ken and Johnny] Johnny Vigeti is back! Hii ni real ghetto sh** si mataniii! Johnny Vigeti is back! Watoto wadogo wan*leta mchezo kwenye fani Johnny Vigeti is back! Sikuwa nimeenda nilikuwa hapa hapa Johnny Vigeti is back! Na mission yangu ni kuwatafuna kama supper [Verse 2: Johnny Vigeti] Tunaifanya vile tunafeel, si turidhishe watu Mpaka nimeachana na h**n niwakilishe 1-2 Tumetoka mbali, fiti crew ni machizi Dandora wakifoka mtaani Mpaka F2 jam session, 'kileta torture flani Big up kwa machizi wangu wanasota ndani Keep your head up tu hivyo ni siku moja man Don't to d**! Mambo ya pony masufuri Hakuna faida jo; huchori man, hukuli Utajukuta kwa shida, ni ngori man mhuni Natafuta juu ya kina-shawty tu mi huwa situli Take notes wanaojifanya wasomi waende skuli Wakilisha 100 mpaka niende kaburi Kutoka tu before, zile mi nachora tu ni raw Kama kawa wakilisha Dandora to the core Tusha-wisen up mambo tunachora tu ki-pro Tunasonga tukigrow [Hook: Ken and Johnny] Johnny Vigeti is back! Hii ni real ghetto sh** si mataniii! Johnny Vigeti is back! Watoto wadogo wan*leta mchezo kwenye fani Johnny Vigeti is back! Sikuwa nimeenda nilikuwa hapa hapa Johnny Vigeti is back! Na mission yangu ni kuwatafuna kama supper (Gunshot) [Female voice] f** you, your friends and your stupid career But still I'm waiting in bed for you, coz you are... my only legend... And I'm gonna show you things you've never did to me before Even if I know you f** all these other ladies, at least give me one hour But f** you for WHAT YOU DID, because my p**y has got diamonds Johnny Vigeti is back! (Gunshot)