Ken Ring - Barua Ya Mwisho lyrics

Published

0 146 0

Ken Ring - Barua Ya Mwisho lyrics

[Verse 1: Wyre] Eeeh Love Child pon dah case! Gideon boots already know! Ready fi go fight dis war Negativity full of taxing Ready fi polluting yah conscious Sina uwoga nina Mola Thamani hawatani pora Majaribio kwa wingi! Imani yangu msingi Homie life seem confusing Only refuge coulda been mi-music When me think about my family again And the only gift to life coulda never want abuse it [Chorus: Wyre] Father God keep me sane, through all this pain Nipe haki niishi, bila chuki Show me that right way, when I go astray ooh Nipe haki niishi, bila chuki [Verse 2: Vigeti] Najiskia huyu hata sio mimi Man, hata sijui ndio nini! Nafsi yangu ime-dhoofika Medication yangu huwezi ipata hosii aah! Hata sinanga motisha Ukinigeuzia mgongo ndio sasa ndio kwisha Saa ingine mi hujiaangalia Ushaona mwanaume akiskia kulia Nimepotea bado naulizia njia Najua vitu hufanyika na sababu Alafu bado huwezi ridhisha mwanadamu Niwe-tu ndio nikikuita una-kamu Huwezi badilisha chenye Mungu ameandika Huwezi ukarudisha wale ndugu tumezika Mambo kwisha, hatuwezi saidika Tafutana na salvation kule kanisa [Chorus: Wyre] Father God keep me sane, through all this pain Nipe haki niishi, bila chuki Show me that right way, when I go astray ooh Nipe haki niishi, bila chuki [Verse 3: Vigeti] Kweli hawataki kujua Naona nikaa washikaji wataniuwa Wako faster kuni judge mimi Naweza gonga mtu punch nini Zukungwa na upuzi, kama za booty zinafungwa na mu… Hio ndio kitu ya mwisho nitawaandikia Najua hiyo risto itawafikia Kwa kifua uzito naachilia Naenda mimi sijui kama nitarudi Tusipo onana pia goody Man, tusipo onana pia goody Napiga magoti Asante hapana nipita Sir-Gody ha! Potelea kwa form hakuna Man, tunaongelea hawa ma-kuma Haina noma hayo ndio mawazo ya mwisho Na sio mawazo ya mwisho Sio mbali kutoka hapa Hapana kuchoka sasa Nahofia watoto wetu Hao ndio hope na ndoto zetu Sumbuliwa tu na serekali Hata sijui wanaficha siri gani [Chorus: Wyre] Father God keep me sane, through all this pain Nipe haki niishi, bila chuki Show me that right way, when I go astray,ooh! Nipe haki niishi, bila chuki [Outro: Wyre] Father God keep me sane x3 Through all this pain Father God keep me sane x2 Ooh! Nipe haki niishi, bila chuki x3