Kali D - Worldwide Hustlers lyrics

Published

0 138 0

Kali D - Worldwide Hustlers lyrics

CHORUS: KALI D Dedication to ma worldwide hustlers maboys wa mtaa wale hujilisha Hawana job lakini haueziwatisha Wakikupita hao wenyewe wameng'aa kukushinda Dedication to ma worldwide hustlers maboys wa mtaa wale hujilisha Hawana job lakini haueziwatisha Wakikupita hao wenyewe wameng'aa kukushinda Haujitafutia chapa fala sikiza VERSE 1: KALI D 15 kijana alikuwa na dreams za kulive young and rich Ile time K-South na Shaka pekee ndio walikuwa wamehit Kila verse anaspit ilikuwa ni masterpiece Mtaa ilikuwa ni 2000 streets Hood imejaa drug na thieves Drinks illicit na mapolisi poverty ilikuwa imezidi Sa boy akanza kupay studios a visit Lakini kila moja alipata wanadai akuje na riziki Basi akaamua kutake it back to the streets Atafute njaro anaeza hustle aezange pata msimamo Kiasi ya kulipa labo, wiki moja ye adrop cd double Kirhymes anajitrust enyewe alikuwa nazo Kuanzia kitambo akiwa primo hizi thoughts zilikuwa zina mdrive psycho Na kwa hiyo harakati ya kutafuta doe Ashapigwa mob d** zote ashatumia police station ka zote ashalodge Lakini bado anaangusha rhymes of course Ye ni product ya ghetto place hakunanga kulose hope Ni kubeleive siku yako ikifika utamulikwa na God au sio? CHORUS: KALI D Dedication to ma worldwide hustlers maboys wa mtaa wale hujilisha Hawana job lakini haueziwatisha Wakikupita hao wenyewe wameng'aa kukushinda Dedication to ma worldwide hustlers maboys wa mtaa wale hujilisha Hawana job lakini haueziwatisha Wakikupita hao wenyewe wameng'aa kukushinda Haujitafutia chapa fala sikiza VERSE 2: KALI D Cheki posi ya hiyo kikosi skiza story kwa makini na ukuje slowly Juu ka ni uchokozi hapa ni boxing na haikosi utalazwa hosi Mi itabaki nasakanywa na maponyi Niko area lakini hawanioni Ni ka vile msee anaeza kupita anachoma fegi lakini harufu inatoka ni ya gode Peace kwa makonkode wa kunganisha fulltime pia wa masquadi Wale wanaelewa lazima vako za roadi Na mabadman haujitetea na kuruka noma hata wakipelekwa korti Lazima watu wa dishi lazima nilipe kodi Wase wote wa beam wanaojua kumake doe endelea kudo your thing Watu wa keep clean, ng'ara nguo za kimagazine ka una uwezo Ka haujiezi hustle videadly Mi yangu ni rap na kusema ukweli itanilipa na isipo itanifanya ni creki Nita spit, nita spit mpaka nideadi Na kwa coffin yangu iekewe mic kando yangu watu wacheki Wasanii watoe madom na waziseti Minisha creki nakushow nishacreki