Kali D - Kashfa Lawama lyrics

Published

0 400 0

Kali D - Kashfa Lawama lyrics

Intro: Kali D & Kitu Sewer Kashfa (kila siku) Kashfa Lawama (Haha!) Umeiskia kwa gazeti Unaiona kila siku kwa T.V Iko nje ya mlango ukitoka, redio pia Unajifanya uko mzuri (na majirani) Ukona Kashfa,(kwa streets ukitembea na mabeshte) Anglolease, nini sakata yani ngori hujawai ona Hakuna mtu anataka yote ni Kashfa. Chorus: Kali D Nooks, juu anything I do ni kashfa lawama Crooks, ni hao mabig but mi ndo hubeba hiyo kashfa lawama Choose kuchill usibooze, muthutho kashfa lawama b**bs, dame kumscrew vooks kashfa lawama So tools tunause kudismantle hiyo kashfa I refuse hawatahandle hiyo kashfa lawama. Verse 1: Kali D Books kuzikataa imekulazimisha kuvaa ma Gideon boots Ukawa street soldier, hamna noma But my opinion anytime una goods Worth a million, usilete moods kwa biz please Zinaeza kuacha na vioja mahakamani Na si ile funny ni kashfa, law suits Ikawa badala ujiboost Unajijustify kujiprove vile hauko kwa hiyo noma Lex Coupes umetry kuwai kutoka zamani na ndo uicruise Njia ni gani bila kupata makashfa manooks za hii na flani Ingawaje nilizaliwa kwa generation ya kubreak rules Haunipati nikivuna fruits sikupanda bila ka plani Uliambia aje? Deal ikiwa too good inaeza kuwa devil's soup Na ni kashfa, na juu kumanga ni lazma Huyu hustler hupata beef kwa hood kabla adish kwa booth To speak the truth, sometimes nihuchai ask me why System iko designed ndo ukunywe chai Lazima ustrickly loot ka huvai suit Haunyongi tie weh hunyonga wai Nine feet ni soon Mama aliniteach life ni yako weh choose just make sure usilose Papa akapreach utalipa kashfa ulicreate in each and every move But hiyo hainimove, lawama sikuseduce Adam and Eve wanisoothe So nikiskia kiu, mi hudrink juice Lazima ni pay dues, lazima nipe booze. Verse 2: Kitu Sewer Kashfa lawama starehe ni garama, toa gun ka Barasa Plus siasa imetwangwa , na pia hiyo ganja imemwagwa Hiyo yote ni propaganda plus properly imeganda Si ndo the reason art and craft ilitolewa kwa syllabus juu ni upusi Ka mtu amesoma na degree yake hakuli Lakini kijana wa mtaa ametoa ngoma na akaearn mita kumi Heshima yako ni ka deni ya last year, keep it Bank ni ka washing machine, blood money hutoka clean ka clinic Yeah, pande ya swagger enyewe labda mfupa, nyama walishaimanga Kichwa walishaichop wakaenda nayo mwili iko display Wastiri wanawindow shop, witness alitupwa kwa choo Mbleina fake alimanga hiyo doe Sperm bank hauezi trade na saliva Bribe kuearn doe ya kutosha kusomesha mtoi Braeburn Kutoka kwa frying pan ka uko kwa menu Bypa** juu ni dog eat dog society Wiper juu kunafog hawaoni poa Bypa** juu wako chini Order juu hatutaki high cla** Kashfa state of thinking akiblink mara tatu ni uongo Bleach? Enyewe ako mara tatu ya mngoso Ukona lawama? Hawakuachi ni ka nzi kwa vidonda fresh Ni ka Pope hauendi bila kuwaacha na blessing Na deni pia ni culture karibu waiundie sect Na wako kwa network nika wako kwa shati ya checked Uko kwa korti kumaanisha ukona case Niambie pola mwite maspy wanapull macomeback Karibuni wataunda maweb Ukona land umeunda keja 25M kuamkia kesho yake impigwa X na Gova Na wengine ka wewe wanaishi less than a dollar a day Your Excellency sijui ka inamake sense kwako But jua inaburn nika imeekewa lense