K-HooD Hoodboy - Champion lyrics

Published

0 486 0

K-HooD Hoodboy - Champion lyrics

Verse 1 Go hard go hard aim higher Na sichaguagi kazi sioni haya Utatimiza ndoto zako au malengo yako As long as to we ufanye yako Waweza kuwa kama sister Lupita Nyongo Waweza kuwa kama Desmond Tutu Waweza kuwa kama Moringe Sokoine Champions wa Africa ni mwalimu Nyerere Na Mandela kijana tafuta hela Piga mishemishe mjini Dar upate kula Na heshima itakuja tu baada ya mpunga Na nibaada ya kijituma sirudi nyuma Mama kanambia kijana wangu skia Kidogo unachopata tunza kitakusaidia Pili kuwa na heshima tatu usidharau Kwa sababu champion huwa hajisahau Hook - Chelsea Davis Am going hard tonight Ama winning the fight Because I'm a champion champion Uuu yeah Verse 2 Mungu akupe nini kakupa kila kitu Akili nguvu afya pia ujasiri Kwani usipige kazi au umeadiwa gari Na mumy au dad ndo ulete jeuri Am a champion ka Filbert Bay Am a champion kama mzee wa uhuru kenyatta Am a champion kama Wngari Mathai na Sirudi nyuma limit be the sky Oliva Mtukuzi sign of a champion Na lady Jay dee comando quuen champion Malengo yanatimia kujituma kuamini Sabu bila yeye hufiki mbali baba wa mbinguni Ishi maisha yako upuuz usi entartain Kuna wajinga wametuma kutushusha chini Na amini usiamin tutabaki juu Sab hakuna kinachoshindikana kwake ye aliye juu