Oh oh Dunia ina mambo bana Usishangae sana, sana Tena sana, sana (eh ehe eh) Hata mimi nashanga bana (Hata mimi ( nashanga bana x2) Ukiniona waniona na aibu sana, Wasee wangu kwa mtaa wanawika bana, Siku hizi naogopa kuomba bwana, Juu hata mifuko za wakora zaimba hosana, Walinipa uongo nami nikakubali nikamfuata nyuki, Nikalimwa na asali, Weka tumbo mbele wacha akili nyuma, Maiti kavalia, Walisema sikuskiza, oo Mama na baba walinighusia ewe kijana, Kuwa mwanangu jionee Dunia ina mambo Yao sikuyasikiza, sasa mimi najuta, Kweli najionea, Dunia ina mambo Hey Chorus Dunia ina mambo oo Dunia ina mambo (Dunia ina mambo bana) Dunia ina mambo oo Dunia ina mambo (Dunia ina mambo sana) Dunia ina mambo oo Dunia ina mambo (Dunia ina mambo bana) Dunia ina mambo oo Dunia ina mambo Dunia ina mambo ooo Nafunga bao, Niite pita dao, Ubaya ya binadamu Ni rahisi kusahau, Changu ni chetu, Lakini Chako ni chako, Mtu wangu ah aah wacha vako, Marafiki wamekuwa manafiki bana, Najionea tena kushangaa sana Niliacha kuwa mjinga, (nini) Ati sasa najiringa, Ukistaajabu ya Musa ya Firauni bado Walinambia kijana, Jihadhari na 'limwengu Hao walimwengu si wazuri kwako kijana, Yao sikuyasikiza, Sasa mimi najuta Kweli najionea, Dunia ina mambo Hey Dunia ina mambo oo Dunia ina mambo (Dunia ina mambo bana) Dunia ina mambo oo Dunia ina mambo (Dunia ina mambo sana) Dunia ina mambo oo Dunia ina mambo (Dunia ina mambo bana) Dunia ina mambo oo Dunia ina mambo Dunia ina mambo ooo Ukiwa nao leo marafiki ni wengi sana Watakusifu -oo wewe kijana mzuri Dunia ina mambo oo Dunia ina mambo Ukiwa hunawo wengi wanakukimbia Na mengi kusema wewe kijana mbaya Dunia ina mambo oo Dunia ina mambo (Dunia ina mambo) Dunia ina mambo oo Dunia ina mambo (Dunia ina mambo bana) Dunia ina mambo oo Dunia ina mambo (Dunia ina mambo sana) Dunia ina mambo oo Dunia ina mambo (Dunia ina mambo bana) Dunia ina mambo oo Dunia ina mambo Dunia ina mambo ooo oooo wo wo wo wo wo wo Dunia ina mambooo Dunia ina mambo Dunia ina mamboo Ah aah aaah Ah aah aaah