Just A Band - Ha He lyrics

Published

0 428 0

Just A Band - Ha He lyrics

Microphone check one, one two (Musyoka) Ukiwasha nare Mathare 'taonja vibare Mi si mnati, si Barbie, niko tu katikati Staki kuskiza story za charity, charity Nipe wings ni-defy-fy gravity, gravity Sema oh Ha-He Juu tuko works mzeiya (Ha-he) Evacuate the area (Ha-he) Juu tuko works mzeiya (Ha-he) Serikali haijali So naona mbwa kali afadhali Dame amejam juu dough haikam Na siwezi kum-show ati life ni exam juu Ntatupiwa sufuria Na hizo ni aibu ndogo ndogo mi sipendi So nikikipita tao tao Ju sio madharau-rau Juu tuko works mzeiya Evacuate the area (Ha-he) Juu tuko works mzeiya (Ha-he) Nipe, nipe nafasi Nikueleze kiasi Vile sisi hufanya Pande hii ya the tracks Hatuchezi na kazi sipoteze wakati Tumekunja mashati oo-ooh oo-ooh Juu tuko works mzeiya (ha-he) Evacuate the area (ha-he) Juu tuko works mzeiya aa ah (ha-he) Juu tuko works mzeiya Evacuate the area (ha-he) Juu tuko works mzeiya aah aah (ha-he) Ha-he x10