Juliani - Biceps lyrics

Published

0 319 0

Juliani - Biceps lyrics

Song: Biceps Chorus Pia mi hu-cry kwa crisis Pia mi najua mwanaume sio biceps Pia mi hu-cry kwa crisis Pia mi najua mwanaume sio biceps Pia mi hu-cry kwa crisis Pia mi najua urembo sio cutex Pia mi hu-cry kwa crisis Pia mi najua urembo sio cutex Verse 1 Ma-thug wanateremka ka longi yangu niki-sag Futi sita chini shags Jail ime-fail jaribu hugs Waonekani mtaani ka santa claus kinyozi Machozi ya kitungu Roho ya robocop Sarah alikuwa anataka mtoto naako menopause Ma-boy wanatafuta love kwa soap Washewana-define love na soap... opera Haisaidiika Micheal Jordan kununuakichana Eeh bana enda Koinange Street Cheki length ya skirt ya wa-she Hio ndio inaitwa mini-stry Mimi G Na-reason hivi (Chorus) Verse 2 Ma-zero zikiwakwa paper ya exam Una-jam Lakini the more zikiwa kwa cheque book Unajisifu Venye unajua si hivyo huwa Kuvaa white haimaanishi angel Pengine ni Ku Klux Klan Ku clash clad Nika Mkristo anaenda club anaenda pub Si nywele yao ni wig Si shida ya macho ni weed Wana njaa usidanganywe na toothpick Ndio una twenty six inch rims Lakini ka wengine utaingia six feet deep Wana beba mandovu kwa wallet Lakini hawana nguvu ya kutoa msumari imewafunikia kwa casket Wana beba mandovu kwa wallet (Chorus) Verse 3 Wazembe waezi chana nywele wakaita dredi Waliishiwa na unga wakaita uji Kukua busy sibidii Sote wezi ni venye tujapatikana P3 I wonder tulikopesha ni grim reaper? Inatu-cost life yetu Dough haiezilipa Siku-choose kuingia hii dunia Pia sijui lini nita toka hii dunia Basi mimi nitajivunia Mbona mapenzi kabla pete inapuliza tumbo Kama ni hatia tunge fura mgongo Simbaya msichana na kijana ku-keep in touch (Chorus)