Juliani - PAGES ZA BIBLE lyrics

Published

0 258 0

Juliani - PAGES ZA BIBLE lyrics

Chorus(Juliani) Siku hizi nadara pages za bible by four no-no Haikuwa hivo Each and every day mi haffi read the bible Hands inna di air if you are true disciple Siku hizi nadara pages za bible by four no-no Haikuwa hivo Each and every day mi haffi read the bible Hands inna di air if you are true disciple Verse 1 (Juliani) Kila mtu ana zeros Difference ni place decimal point iko Lesson uji-position Especially ukiwa hauna options Ka goalkeeper wa Harambee Stars No, hayuko, are you sure Ulitafuta right place Mi nilimpata through fa-aith, mzeiya Wanapaka Christian Dior ndio Wasinuke ka heathen Usiwaige hao Ama niaje (iko nini) Chorus(Juliani)