Zuchu - sukari lyrics

Published

0 604 0

Zuchu - sukari lyrics

Eti nimemlambisha Ananiambia chombeza Tena nikiizidisha Ananiamba Koleza Nikitaka kusitisha Aniamambia Ongeza Japo imethibitishwa Ila itampoteza Ikipanda ni balaa Ikishuka ndio Hatari Asijepata madhara Akaitwa sanaani Radha yake msalaha Shira ya kizanzibari Nami simpi miwala Akitaka nampa Sukari (Nampatia) Sugar Sukari (Nampatia) Sukari (Nampatia) Sugar Sukari (Nampatia) Na akilia njaa Junjaa Sifanyi hajizi Namjazia Jaa Juja na zitangawizi Baba chanja Baba Chanja (Eeee) Chukua vyote Chukua (Kulaa) Vitafune ganja ganja (Eeee) Chakua mwaya Chakua (Kulaa) Ujibusti na karanga (Eeee) Tuliza na kitumbua (Kulaa) Jiadhali na majanga Wee Usije ukaugua Ikipanda ni balaa Ikishuka ndio Hatari Asijepata madhara Akaitwa sanaani Radha yake msalaha Shira ya kizanzibari Nami simpi miwala Akitaka nampa Sukari (Nampatia) Sugar Sukari (Nampatia) Sukari (Nampatia) Sugar Sukari (Nampatia) Nimroge kwa nini kashanugewa Utamu wa sukarini Tamu kolea Da dambua Wee dambua Alua alua dambua Da dambua Wee dambua Inama kama unafua Kigulu nyanyua