Young Kacha - IPO SIKU lyrics

Published

0 295 0

Young Kacha - IPO SIKU lyrics

(intro:Young Kacha) Never lose hope,,,neverr,,ts YK,Young Kacha,,,thats my nick name (verse 1:Young Kacha) Kila napokaa nawaza sipati jibu/ Nilipotoka balaa nilipo hakuna mbivu/ Vipi napokwenda ntapata mnofu ntoke shavu?/ Au ndo vile vile life all day litanipiga cha mbavu/ But, i know one day jah atabless/ Ntakuwa boss ka mick mill au rozz wa may back/ Hakuna strees wala wickness/ Maswali yote yenye shida ntajibu ki high cla**/ Japo rghty now mi ndo boss wamakabwela/ Bila kumsifia mdosi hakuna noti mwendo hasara/ Japo rghty now snitch wanasema nishambwela/ Hadi nilichange dear gambe kumpa strees young k**er/ Mi ni kama mtoto nae nyonya maziwa ya mama/ Mwenye ndoto kubwa ipo siku ntakuwa na wangu mwana/ Nawaza chakufanya, nasoma nilipokwama/ Nikiamini ipo siku ntakuja kupata sana................................