Published 2016-10-12
0 171 0
Kwa maana jinsi hii Mungu Aliupenda ulimwengu Kamtoa mwanawe ili Tupate uzima milele Atupenda Atupenda Atupenda Atupenda kweli Ni upendo gani huu Mwokozi kujitolea Atufilie wenye dhambi Tupate uzima milele Alitufia Alitufia Alitufia Tupate uzima