Malaika, nakupenda Malaika Malaika, nakupenda Malaika Nami nifanyeje, kijana mwenzio Nashindwa na mali sina, we Ningekuoa Malaika Nashindwa na mali sina, we Ningekuoa Malaika Kidege, hukuwaza kidege Kidege, hukuwaza kidege Nami nifanyeje, kijana mwenzio Nashindwa na mali sina, we Ningekuoa kidege Nashindwa na mali sina, we Ningekuoa kidege Pesa zasumbua roho yangu Pesa zasumbua roho yangu Nami nifanyeje, kijana mwenzio Ningekuoa Malaika Nashndwa na mali sina, we Ningekuoa Malaika Angel Angel, I love you angel What should I do, your lover I am defeated by money I don't have any I would marry you, angel Money is troubling my soul Little bird I always dream of you little bird This remains one of the Hep Stars' fans Favorite songs. There are many inaccuracies In other versions out there, these are the Correct and complete lyrics. The Hep Stars Didn't sing all the verses. Thanks to the Kamusi Project for the lyrics and translation