Shahidi Mosh - DUNIA lyrics

Published

0 222 0

Shahidi Mosh - DUNIA lyrics

Song title:Dunia. 1)Dunia imegonga mbaya,kweli ndugu sikiaaaa, Dunia imegonga mbaya,kweli dada sikiaaaa, (Listen.)Watu wanakufakufa,juu ya dhambi(hata tunashangaza Sir.God pia) Watu wan*lewalewa(Yokozuna,hawa wasee wan*like tu sana..), bila kujali, Wengine wabaka watoto, bila aibu, Wengine wajiuzauza,bila huzuni, Mimi nitamfuata Yesu,kwa raha zangu(Raha zangu tu!), Yesu ndiye kimbilio la maisha yangu!(Maisha yangu,maisha yako,maisha yetu!)Aaah…aaah…aahh! 2)Ni heri nirudi kwa Mungu, nitafute amani..Yeea…wanna go back to God,man! Kitu moja nina hakika, kwa Mungu kuna amani…(Tell dem!) Kwa Yesu hakuna kulewa,hajui kuwaka(Hata kuchoma) Shida,mateso,magonjwa,zote hazipo,(Ziii…hakuna hata msoto man…hakuna. Nakualika rafiki,twende kwa Yesu(Twendex3) Yesu kweli akupenda,twende kwa Yesu Nakualika rafiki,twende kwa Yesu, Yesu kweli akupenda,twende kwa Yesu(Mapenzi tele tele) Mazee Gitonga jo, na-like vile umepeleka shetash mbio mara hii…ngoma kali kali ndo unatoa za kumchuja.Beats kali, juu ya ngoma kali..kwa shetani ni pilipili..hamezi, na akijaribu kumeza, utaona tu vile anatema. Chorus:Yesu awaitaaaa…Yesu awaitaaa..Come on,come on.) Ewe baba na mama,ewe baba na mama, Enyi vijana piaaaaa…Enyi vijana pia, Yesu kimbilio…Yesu kimbiliooo. (Hii ngoma ni kama mumias sugar…utamu halisi wa Kenya.sukari…sukari.x4)