Sauti Sol - Zosi lyrics

Published

0 573 0

Sauti Sol - Zosi lyrics

Bridge: You are fly Rose flower beautiful Stevie wonderful, you are the one x2 Verse 1: Na marubani, madakitari watasema; Zosi njo Chunga sana, na we wachana usiwasikize hao Wanamuziki wenye magita watazidi kukuita Chunga sana na we wachana usiwasikeze hao Chorus: Zosi, zosi Zosi ni we, zosi ni we x2 Bridge: You are fly Rose flower beautiful Stevie wonderful, you are the one (Zosi ni we) You are fly Rose flower beautiful (Rose flower beautiful) Stevie wonderful, you are the one The one,the one Zosiii You are mine, my girl, my zosi Ni wewe and you are the one Verse 2: Na marubani, madakitari watasema; Zosi njo Chunga sana, na we wachana usiwasikize hao Wale wadosi wenye manoti watesema Zosi njo (zosi njo) Chunga sana, na we wachana usiwasikize hao Chorus: Wachana Nao Waongo Nao mhali wamche Bridge: You are the one and you still are Bridge: ni wewe, wewe,wewe hey,ni wewe The one,the one Zosii You are mine,my girl, my zosi Ni wewe, zosi ni wewe,wewe