Sauti Sol - Sura Yako (Mzuri Mama) lyrics

Published

0 1957 0

Sauti Sol - Sura Yako (Mzuri Mama) lyrics

Nimekuchagua wewe, Nikupende, I have Chosen you, to Love you Mama, Sitaki mwingine, Darling, I don't want another I wish usiniache, Usinitende, Don't abandon me, don't reject me Mama, Usipende mwingine, Darling, Don't love Another Moyo wangu ni mwepesi, My Heart is light Umenikalia chapati, You've bewitched me Nafanya vituko kama chizi, Im doing deeds like an insane person Kukupenda sitasizi, I will never stop loving you Moyo wangu ni mwepesi, My Heart is light Umenikalia chapati, You've bewitched me, Nafanya vituko kama chizi, I'm doing deeds like an insane person Kukupenda sitasizi. I will never stop loving you Chorus: Sura yako mzuri mama, Aaaah Your face is so Beautiful, Woman Aaaah (Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama) Beautiful Woman *3 Na tabasamu lako maua, Aaaah, Your Smile is like a flower.. Aaaah (Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama) [x2] Beautiful Woman *3 Itabidi nikulinde, nikutunze, I guard You, Look After you Mama, Usikose lolote, Darling, You shouldn't miss anything Pete nayo nikuvishe, Nikuoe, put a ring on your finger, marry you Mama, Usiende popote, Darling, don't go anywhere Juu moyo wangu ushakubali, My heart has already accepted you Umenikalia chapati, You've bewitched me Nitakulinda kama polisi, Eh! I will guard you like the Police .. EhItabidi nikumarry, I'll have to marry you Moyo wangu ushakubali, My heart has already accepted you Umenikalia chapati, You've bewitched me Nitakulinda kama polisi, Eh! I will guard you like the Police .. Eh Itabidi nikumarry, I'll have to marry you Itabidi nikumarry. Therefore Marry you Chorus Sura yako mzuri mama, Aaaah Your face is so Beautiful, Woman Aaaah (Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama) Beautiful Woman *3 Na tabasamu lako maua, Aaaah, Your Smile is like a flower.. Aaaah (Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama) [x2] Beautiful Woman *3 Na figure yako kama ya chupa na sura yako mzuru mama Bridge Piga dansi kidogo, Dance/Shake a little Piga Da.....Piga Dansi kidogo, Dance/Shake a little Dansi kidogo, Dance/Shake a little Piga Da.....Piga Dansi kidogo. Dance/Shake a little Dansi kidogo, Dance/Shake a little Piga Da.....Piga Dansi kidogo. Dance/Shake a little Dansi kidogo........................... Dance/Shake a little Chorus 3: Sura yako mzuri mama, Aaaah Your face is so Beautiful, Woman Aaaah (Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama) Beautiful Woman *3 Na tabasamu lako maua, Aaaah, Your Smile is like a flower.. Aaaah (Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama) Beautiful Woman *3 Sura yako mzuri mama, Aaaah Your face is so Beautiful, Woman Aaaah (Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama) Beautiful Woman *3 Na tabasamu lako maua, Aaaah, Your Smile is like a flower.. Aaaah (Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama) [x2] Beautiful Woman *3 Na figure yako kama ya chupa, Aaaah You Figure is similar to a bottle (hourgla** figure), Aaaah (Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama) Beautiful Woman *3 Na tabasamu lako maua, Aaaah The smile on your face is like a flower (Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama) Beautiful Woman *3 Ni wewe ni we Its you, its yoooouuuuuu Ni wewe ni we Its you, its yoooouuuuuu Ni wewe ni we Its you, its yoooouuuuuu