Sauti Sol - GENTLEMAN lyrics

Published

0 2034 0

Sauti Sol - GENTLEMAN lyrics

[Verse I:Gabu] I'm a gentleman M-healthy nakunywanga tu ma-vitamins Mgenge hata sipendi mavita man Ndio nikuwe fresh Napiga shower nadunga marash Moss moss Buga sinanga stress Ata ma-skin tone hainanga ra...(shes) Yes, I like your miniskirt Relax, sipendangi hata ma-shortcut The more unakaa na mimi the more wanaku-hate Uko set uko fresh Ka-smile kako hukam poa na mu-hate Madame wangu si huwacha vi-sweet Mi hu-chase nao sip, cheki nimefunga zip Wee niambie, si nani anakujanga na nani kwa nani Na sikianga nampigia nini kwa nini Leo wewe umedunganga mini bila nini Usiulize ni nini, usiulize mi nini I'm a gentleman, yes I am [Hook: Sauti Sol] Nipate baby kwenye bar Uliza shorty what she drinking You know you're rolling with a gentleman Nauliza utapewa nini Nipate baby kwenye bar Uliza shorty what she drinking You know you're rolling with a gentleman Nauliza utapewa nini [Verse: Frasha] Yo ladies and gentlemen, introducing Frasha the gentleman, madame wananipenda Oh yeah, I'm a ladies man Always niko kazi so yeah, I'm a businessman Wananiitanga Frasha yeah the super man Juu watoto niko nao, ni wasupa man Nikiwa kwenye bar, venye mi hukaa Venye mi huvaa, ai, si huwanga balaa Baby unakunywa nini Pewe unachotaka, kwani iko nini Pause, si ati nakukatia But nikikupata, siwezi mind pia Baby unakunywa nini Pewe unachotaka, kwani iko nini Pause, si ati nakukatia But nikikupata, siwezi mind pia [Hook] [Verse III: Boneye] In your lifetime girl, hii ni chance Yes, holy chance ya ku-roll na a gentleman Come closer mami tupate dance Yes baby doll mi ni wako all night Na-keep my swag right, all white Na leo nina date na Snow White Rare kind... Bon-eye Ladies go mental, smiles all dental We getting sentimental, ka-tempo kako gentle Mi ni yule yule Tangu shule shule Pata noti sasa baby come tule Mi ni yule yule Tangu shule shule Pata noti sasa baby come tule [Hook: Sauti Sol] Nipate baby kwenye bar Uliza shorty what she drinking You know you're rolling with a gentleman Nauliza utapewa nini Nipate baby kwenye bar Uliza shorty what she drinking You know you're rolling with a gentleman Nauliza utapewa nini