SAMKAY KE - MY EVERYTHING lyrics

Published

0 228 0

SAMKAY KE - MY EVERYTHING lyrics

Kiki za marafiki na mapenzi ya dunia hii, Mie yashanichosha nataka kutulia nawe. Kiki za marafiki na mapenzi ya dunia hii, Mie yashanichosha (yashanichosha) nataka kutulia nawe. Daima milele(milele) unipende tu hivi kwa tabia tufanane tena kwa mienendo tufwatane(tufwatane) Daima milele(milele) unipende tu hivi kwa tabia tufanane tena kwa mienendo tufwatane(tufwatane) chorus You're my everything (everything) You're my everything (everything) and everything in my heart is you Lord You're my everything (everything) You're my everything (everything) and everything in my heart is you Lord Nikasema umesonga nami Na bado matendo yako ni thabiti yanadhihirika Tena umekuwa mwema kwangu Wacha nimuunge Mercy Masika And You've fought for me na bado vita zidi kunipigania(kunipigania) Na meza mbele ya maadui zangu baba zidi kuniandalia(andalia) Coz bila Wee mie ni kama river bila waba and so kama Whitney Joy 'NISHIKILIE' usiniwache solo chorus You're my everything (everything) You're my everything (everything) and everything in my heart is you Lord You're my everything (everything) You're my everything (everything) and everything in my heart is you Lord(is You LORD) You're my everything (everything) You're my everything (everything) and everything in my heart is you Lord You're my everything (everything) You're my everything (everything) and everything in my heart is you Lord(is You LORD) (WATER MUSIC) (is You LORD) (is You LORD) (is You LORD)