Rimy Low Key - Gabiro lyrics

Featuring ,

Published

0 236 0

Rimy Low Key - Gabiro lyrics

[Hook/Chorus] Sijawahi enda off key Sinaga kelele zangu huwa low key Nawatisha na maflow cheki noti Siri yangu ni kupiga magoti na kumshukuru Mungu (x2) [Verse 1 – GABIRO] I pray to God aniongee tu hizi pesa Ju bado nina dream nataka kumuoa Fezza Mi mtafutaji so unajua jo sichoki Na singekuwa rapper ningekuwa disc jockey Wanauliza mbona hizi show sitoki Kwani we ni Yesu ndio uniambie ka siokoki Don't judge me coz I chose kuwa low key Mi napenda Yesu shinda wote mliocopy I don't shout coz I know niko better I do what I like ndio nilenge peer pressure Napenda Mziki siwezi itoroka Ukinikata veins ni ma guitar ndio itatoka Toroka na njaa mimi nashiba (aah) Ukiwa na Yesu hakuna shida Mbele mpaka nyuma cheza chini tu utashinda Nina award pia so unajua mi ni winner Nisiposhikwa sura watanijua kwa jina Nione kwenye TV nikinena tu na Nina Promise the best kwa upendo wivu sina Naona nikizidi ninaweza kosa vina. [Hook/Chorus] Sijawahi enda off key Sinaga kelele zangu huwa low key Nawatisha na maflow cheki noti Siri yangu ni kupiga magoti na kumshukuru Mungu (x2) [Verse 2 – GABIRO] Nina ma friends but some we be joking Kuna wale pia kazi yao tu ni talking Mimi ndio prezzo sijawai enda off key Na sina ubishi sijawahi piga high key Kama ni lines nina flow uliza Noti Please be official tafadhali dunga koti Wananiuliza kama Vera ameshindika Itakuwa vipi na kwangu hajaifika? Mi napenda wote ndio maana ninasifika Siri ni maombi ndio maana ninasikika Kneel down and pray you'll get better If you need money just work and sleep later Hakuna kisicho na mwisho bbasi vumilia Ukiona vyaelea sio wewe uliyeunda Mungu halali piga goti ataleta mvua Mi niko low key na hivo ndio nimeamua Mungu baba nipigishe maraundi Nionyeshe hizi dollar na ma poundi Ili yule dada aweze nivisha crowni [Hook/Chorus] Sijawahi enda off key Sinaga kelele zangu huwa low key Nawatisha na maflow cheki noti Siri yangu ni kupiga magoti na kumshukuru Mungu (x2) [Verse 3 – MATAMU] Hustle is real yea, Struggle is too real, Mkono mtupu hulambwi wahenga walishasema Kila siku kama kawa, Mwanzo kabisa sala Tena after kahawa Nashika pen na paper Kundika jinsi nitaimba Nataka rogaroga kwa muziki kama ye Alade Nataka zunguruka rukaruka kwenye stage mijini Siku gani nitaona nimemake it Natafuta, sitachoka Nitambae kwenye twitter mnifate Instagramu double tapu mi nipate Nisiwe debe tupu mnisare Matamu munisare! [Hook/Chorus] Sijawahi enda off key Sinaga kelele zangu huwa low key Nawatisha na maflow cheki noti Siri yangu ni kupiga magoti na kumshukuru Mungu (x2)