RedFourth Chorus - Kuliko Jana lyrics

Published

0 469 0

RedFourth Chorus - Kuliko Jana lyrics

Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni kiongozi wangu Ananipenda leo kuliko jana Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki Ananipenda leo kuliko jana Kuliko Jana Kuliko Jana Yesu nipende leo kuliko jana Kuliko Jana Kuliko Jana Yesu nipende leo kuliko jana Nakuomba Mungu awasamehe Wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema Na maadui wangu nawaombe maisha marefu, wazidi kuona ukinibariki Ujue binadamu ni waajabu sana Walimkana Yesu mara tatu kabla jogoo kuwika Ujue binadamu ni waajabu sana Walimsulubisha Yesu Messiah bila kusita Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni kiongozi wangu Ananipenda leo kuliko jana Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki Ananipenda leo kuliko jana Kuliko Jana Kuliko Jana Yesu nipende leo kuliko jana Kuliko Jana Kuliko Jana Yesu nipende leo kuliko jana Wewe ndio nategemea, Kufa kupona baba nakutegemea Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (oooh oooh yeah) Wewe ndio nategemea, (amen) Kufa kupona baba nakutegemea (oh oh) Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (wewe, ndio nategemea) Wewe ndio nategemea, Kufa kupona ndio nategemea (Eh bwana) Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (Eh, maisha yangu yote) Wewe ndio nategemea, (kwa nguvu zangu zote), kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea) Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (oooooooh) Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni mkombozi wangu Ananipenda leo kuliko jana Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki Ananipenda leo kuliko jana Kuliko Jana Kuliko Jana Yesu nipende leo kuliko jana Kuliko Jana Kuliko Jana Yesu nipende leo kuliko jana Wewe ndio nategemea (wewe), kufa kupona baba nakutegemea (wewe) Chochote kitanikatsia (uh-huh), kuingia mbinguni utaniondolea Wewe ndio nategemea (oooh), kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea) Chochote kitanikatsia kuingia mbinguni utaniondolea Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni mkombozi wangu Ananipenda leo kuliko jana Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki Ananipenda leo kuliko jana Kuliko Jana Kuliko Jana Nipende leo Kuliko Jana