Rayvanny - Waongo lyrics

Published

0 453 0

Rayvanny - Waongo lyrics

Eti nilemwita my queen eminado Leo kashika njia Aloyafanya mi simanzi Nishachoka kulia Nipe Panadol changanya Chloroquine Madawa yote jazia Sumu ya panya wapi kitanzi Nishachoka dunia Aliniahidi Nitakuwa wake kufa na kuzikana Kigoma kwa bibi Ngala mukunze na tukapelekana Tena akanifariji Eti anafanya mipango tuanze kuona Kumbe muongo! Alinidanganya kanifanya cartoon Kumbe muongo! Hadi safari za akasema salimi Kumbe muongo! Hawakutosheka chumbani wakafanya bafuni Kumbe muongo! Aliyoyafanya leo kwangu huzuni najuta mie Waongo wao! Yaani waongo wao Waongo wao, waongo wao Tena Waongo wao, waongo wao Waongo wao! Yaani waongo wao Waongo wao, waongo wao Tena Waongo wao, waongo wao Wengi mnapenda sura Shepu mibinuko Wakati hamna kitu kwa mifuko Vimba kama puto kuringia uso Kijana jua kuna babu yupo Anahudumia, anagharamia Kodi ya nyumba anamlipia Na furniture pia kamnunulia Ipo siku utaikalia Macho kwenye pesa Macho kwenye noti Macho sio kwa handsome Macho ni kwa bosi Chat za Whatsapp hizo ni namba za mashosti Ukitaka ufe cheki namba za kitosi Shevu fundi wa heleni kumbe fundi wa mkoleni Fundi wa mafundi yaani fundi miuno feni Ana fundi mikocheni ana fundi magomeni Ila fundi wa manzese humfikisha kileleni Wakilia wana machozi bandia Macho funika pazia Msishangae mikia Mtaumia vijana Waongo wao! Yaani waongo wao Waongo wao, waongo wao Tena Waongo wao, waongo wao Waongo wao! Yaani waongo wao Waongo wao, waongo wao Tena Waongo wao, waongo wao Waongo wao! Yaani waongo wao Waongo wao, waongo wao Tena Waongo wao, waongo wao Waongo wao! Yaani waongo wao Waongo wao, waongo wao Tena Waongo wao, waongo wao (Kweli kikulacho kiko nguoni mwako)