Navy Kenzo - Katika lyrics

Published

0 600 0

Navy Kenzo - Katika lyrics

Katik, katika aah eh Katik, katika aah eh Katik, katika aah eh Ninamidadi ka ya ruba, eeh Kibao kata kinyonga, ooh-naa Mfukoni namavumba, weeeh Nungu chini linasunta, eeeh Yani bo bo bo bo boo Kananikoshaga robo ooo Yani nasimama de de de dee Kakitingisha wo wo wo wo Baby girl dance for me one time, seketoo Miono feni kunata, seketoo Tena jifunge na ngata, seketoo Zile za kibao kata, seketoo.. Katik, katika aah eh Katik, katika aah eh Katik, katika aah eh.. Yani katot ni, kako ni ni nii Kamekazika ni ngi ngi ngii Nyuma mbwii, kako mbwi mbwi mbwii Kana misifa shangi ngi ngii Nilikavizia kitamboo, aah eeh Loe kamenasa chambo, aah eeh Nkapakia na mgando, aah eeh Kajegeje karambo, aah eeh Kana michenzo ngomani Sindimba izombe Nami nampatia za pwani Muhogo wa jang’ombe Yani e e e ee Kananikoshaga roho o o o Waga nasimama de de de dee Kakitingisha wo wo wo wo Oooh yaaah, ooh nadendeaa Yani siwezi kutembea Che cheme na checheme Yani hadi na legea [ Navy Kenzo ft Diamond Platnumz Katika Lyrics ] Katik, katika aah eh Katik, katika aah eh Katik, katika aah eh.. Maumivu naugulia Mwiba ukizama nahisi mateso Utamu mang’ang’ania versuri.online Ndizi kwa nyuma Napata mchecheto Nakuna Nazi kwa mkongojo, aah eeh Naunga mchuza wa sotojo, aah eeh Una la rosti rojo rojo, aah eeh Mikunjo Fulani wa bogojo, aah eeh Kibao kata tenteme tenteme Kilinge ni kuzama uchutame Uwezi pata we mpaka usimame Haichagui mwembamba mnene Nikalaze kwa bed kitanda, kwa geto Nikachezeshe samba, roketo Na kalivo na body kinanda, sepetu Tunguli zimenibamba, mobetto Katik, katika aah eh Katik, katika aah eh Katik, katika aah eh.