[Intro Mic gower] Yeah! Its your Boy Gower Remission You know we Got it [Verse 1 Sir mbezi] Ningeweza kuwa mvuvi, maisha yangu kwenye maji Ila mungu kanitunuku, kwa kunipa hiki kipaji Sijafungua chapter, ndo kwanza niko dibaji Maneno ya kuwa hasa, tusiishi ili mradi Na good ndani kristo, good siogopi kifo Wangapi wamepotea, mie bado nipo Sababu niko nae, niko ambae niko Wanashangaa kitu gani, ninasema Hawajui nikifa leo, nitaishi tena Yaan zaid ya mbele, am forever young, coz ntaishi milele Sipotezi muda, mi so yuda disign Zaid ya , record deal kwa yesu nimesha sign Hakunaga jipya, teyari nimesha buy Ndo maana mi disiciple, niko safe niko fiiineee Ndo maana mi disiciple, niko safe niko fiiineee [Chorus D.m.y] Injili kwanza mengine yatafta Tushakula kiapo kwamba kristo tutamfta 3 disciples tuna run this town [Verse 2 Mic gower] Nimeanza rap , mwanzoni kabla sijaokoka Sikudhani shetani kama nitamshinda Najua ilikua taff, ukiplas ma peer pressure Mambo mengii niliopata huru kweli skuitaka Dear christian, usione kama watu hapendi Maybe wapo kama wale, wanajali si vya msingi Unahitaji kuamini, na sijamaanisha dini Ni mungu alie hai, yule aliontoa mi gizani Sasa nimeokoka, wananiita mlokole Nashukuru kanipa rap, ili nitangaze injili Kanipa bonge la clique, nisije potea vumbuni Kwa umaarufu wa mziki , na tamaa za kimwili Nimejawa GRACEEEE Mungu wangu mwanzo na mwisho Line zangu, life yangu Kukiri kwangu, ndo wokovu wangu Amenichange yesss R4C, bado inachange mziki R.I.P bongo fleva, mziki wa yesu winning team Amenifia msalabani, niogope msala gani Siku ya 3 kafufuka , shetani kwangu bye bye Shetani kwangu bye bye.. Chorus [verse 3 G stanna] Am a disciple jembe la bwana shamba mkulima Kwake mavuno ni mengi watendaji fanya hima Mi ni…shaanza lima…kwa mistari yenye vina Na jumbe zilizosheheni ukweli tena kwa kina Nilipotoka ni shida, giza totoro Full noma, miba, milima visa na makorongo Maisha ya msoto, maji moto, just sorrows No kitanda…..usiku kucha mi na vigodoro Namfuata aliyeniokoa toka gizani Aliyenitoa kifoni na kunileta mi uzimani Anayenipa amani, furaha isiyo kifani Maji ya uzima fanya hima njoo kisimani Amenifanya chumvi, pia nanu Full mbawa kama tai bye bye ukunguru Nipo huru…nafwata nyayo zake bila udhuru Sina hofu coz yu nami even through the tanuru (G- stana)