Mc Spook - Yenyu lyrics

Published

0 184 0

Mc Spook - Yenyu lyrics

(VERSE 1) I'm the real deal/so nasmash na ill will/decode the internal rhymes,the saga is real/niko place fate iko sedated/na wackness iko celebrated/saa ngapi nitastay real na mafans wananiangalia na erotic eyes/nina ma** ya s**m duct na birth generation/kama hamwezi kuwa conscious ,itabidi tuweka mafuta kwa acceleration /tu-wapatiye head-ache na pain,same na quinine kwa a**/hii inanikalia heavy,venye -hii sh** na pa**/venye mnarap kuhusu more-s**/ilibidi tu-revive the raw con-text/na-lea mabeast wana-nisaka na fida/venye natoa souls kwa body utadhani jigga/ F' the lick before ni stick na chick/f' the love before uni-dick kwa beat/buy tha tape before useme na joke na hit/i'm lyrical/nadai niplant seed ya realness ,suffocate you n***az na mastery files/na beautiful rhymes/venye nabreak utadhani na cross over stage ya puberty/kwa cyphas mnipatiye cemetaries/rhymes concentrated, noma sana me ni jemedari/my brain clot ita-erase hizo sh** mna -bump/ni-wawache empty na dumb/the lost tapes is back/ CHORUS For man***as in the streets hii ni yenyu For mafans kwenye net hii ni yenyu For man***as in the booth hii ni yenyu VERSE 2 Me ni icon ya wanyama/froze thoughts zangu kama hautapata concrete riddles zimekaushwa na kick/mdomo iko infected na plagues kila kitu na-exhale ni sick/fate ilinipatia ugonjwa ,sina love ,na real fans/nina chariot ya manyoka,vita ni ya hesabu na akili/heavy buoyancy kwa brain,nimeflip akili/nataka library ya shairi nibaki sober/ama muzidi kunilisha sleeping pill ,mubaki joker /venye narap nafeel nirvana inanitoka/ama epithet ikuwe brotherly ndio nipatee cure kwa eulogy /naskia sauti kwa nyika/inataka tu-balance tranquillity, inani-ita jina/Bro me simreal/ Hii sh** inanikumbusha 80'/hii sh** erase what fake is