Matt Life - Represent lyrics

Published

0 106 0

Matt Life - Represent lyrics

Hook: Represent Represent Rusha mkono juu kama una represent Represent represent Jabz ndo jina usiongojee kuambiwa Represent represent Rusha mknon juu kama una represent Represent represent Jabz ndo jina usiongojee kuambiwa Verse 1: Mathafakka amefika, kimbia Flow iko tamu ka anjera kwa sinia Mkiadisia ninawapatia Kama umeiva basin nitakupatia.. Kimboro, flow iko tight ka kikoro Jabz noma leo juzi na tomorrow Tunarepresent nikama tuko ligi Kama unaogopa basi call polisi Mi najibamba kumanisha iko easy Nkiko kazi kumanisha niko busy Kuja leta noma upatiwe za kifua Jabz jina kubwa kumaanisha namature Wanaboo wakidhani wanabamba Jabz godfather kumanisha najigamba Rusha mkono juu kama unarepresent Rusha mkono juu kama unarepresent Hook: Verse 2: Verse 2 naiingia verse 2 Marapper wako down nika wako cla** 2 Nimekuboo watchu gonna do? Niko kwenye ndege nikenda majuu Nimejibamba umekasirika Jabz jina kubwa ka matako ya sidika Mafans wako yes uko za apana Umetupa radar kama team bafana Ngoma iko nice ongeza stereo Ngoma inafaa kua kwenye radio Ju inashika bila ariel Ngoma itaskika nairobi adi jericho But tuko nai tunarepresent Mi nkikam team yako utakua kwenye bench Thome ndo place mi narepresent Rusha mkono juu kama unarepresent Hook: