Masebo - This Music The Movie - Salmin Swaggz Verse lyrics

Published

0 146 0

Masebo - This Music The Movie - Salmin Swaggz Verse lyrics

(Verse 3) - Salmin Swaggz Contradiction, I'm on the mission keep it steady rockin Na nikichana kama nacopy watasema Salmin huchoki Maana nafanya wananicopy twanga pepeta ya kina Choki Sio ya kina Sheta niko napeta I'm ballistic, wanajikoki Kwako ni shoti, shtua kama una mguu wa kuzuia chuma Mkono haunyofoki mfukoni, nimezichuma, nilijituma Hazikubuma sa nimetuna ka nimefumwa kwenye mataa Mi hukaaga nyuma so punguza kununa na kushangaa Running the game and I'll still be the same While I'm painting my name on em beats and them bars Jump into fame never knew when I came But they hatin they wishin' they did it like yours Gon' be the man till the end of a story, don't worry We shut it to make it alive And until the day that I prove I survive Will you be alive?