Intro (Colonel Mustafa) I love you too Marya Colonel Ogopa DJs Chorus (Marya) Hey hey hey baby kuna kitu mimi nataka ku(sema) nataka ku(sema) niamini nikikuambia I need you (Mustafa) Hey hey hey baby kuna kitu mimi nataka ku(sema) nataka ku(sema) niamini nikikuambia I love you Verse 1 (Marya) amini nikikuambia mimi nakupenda kila wakati mimi naku-feel sana nikikuangalia pia naskia kulia story yangu ile mi uliskia na ile message ulisoma kwa simu mi sijui ilitoka wapi nadhani maadui wangu waliniseti mapenzi yetu yaishe kweli Chorus (Marya) Hey hey hey baby kuna kitu mimi nataka ku(sema) nataka ku(sema) niamini nikikuambia I need you (Mustafa) Hey hey hey baby kuna kitu mimi nataka ku(sema) nataka ku(sema) niamini nikikuambia I love you Verse 2 (Mustafa) amini nikikuambia I love you je t'aime uko na vitu mimi nazipenda sana nikikuangalia baby naskia kulia tabia yako kweli mi yanivutia na ile lipstick ulipata kwa shati yangu mi sijui ilitoka wapi nadhani maadui wangu waliniseti mapenzi yetu yaishe kweli Repeat Chorus Verse 3 (Mustafa) mapenzi yetu mi nataka tu yaendelee maishani tuwe sote niamini nikikuambia I love you niamini nikikuambia I need you (Marya) mapenzi yetu mi nataka tu yaendelee maishani tuwe sote niamini nikikuambia I love you niamini nikikuambia I need you Repeat Chorus