Ooh Rita (Rita) 3x Ooh Rita oh no no no Chorus Sauti inasikika Tega makini, hujui nani inamwita Chozi lanitoka nitazamapo angani, Naona Sura ya Rita Ona mikono yangu mitupu, imezoea kukushika we Hata nyumbani kwangu haupo umepotea sikuoni kwamwe Ooh Rita 2x Daily nakuwaza wee Ooh Rita 2x Mimi nitanyamazaje? Verse 1 Rita we unajua jinsi gani mimi na wewe tulivyopendana, Jitoa sadaka kimapenzi ilimradi tusijetengana, Ila we unajua ni yako familia, damu yangu ya Bongo si ya Asia. Ndo kigezo cha wao kunitosa mara mbili risasi wamenikosa. Kumbuka ile mimba ndio iliyokufanya ukaja kwangu (ulifukuzwa kwenu). Ulijifunguapo mtoto na wote mkaishi kwangu (ukawachukiza kwenu). Na taarifa ikaja kwako wewe Rita, Uende Arusha nduguzo wanakwita, Ukani-kiss kiss mimi na mtoto, nikakukiss hey hey Chorus Verse 2 Ni tangu Arusha hadi Iringa simu inaita napokea unalia, Kurudi Iringa uishi nami ndugu zako wamekuzuia Ukasema laiti ungejua usingekubali uondokee pekee, Mwanao an*lia, ona mumeo ni bora ninywe pombe. Ila kwa penzi ukafosi kurudi, piga simu mume wangu nakuja, Na maneno ya konda kwenye basi ulifika alikupa siti ukakaa, ulipokaa ukakaa. Ile siku mi nimelelewa, niko mi na mwanangu kumpokea mke wangu. Konda akasema si wewe, ila tu mwili wako Chorus Ooh Rita Rita ahh Na Marco Chali, ndani ya MJ Records, this is true story to Marco Rita 3x Aaah hata nyumbani kwangu haupo!!