Ahh Ahh Eiy Eiy (Eiy Eiy) Verse 1 Ninataka niwahi kufika, nija inajam sasa wapi nitapita Nimekaa karibia saa sita, s asa kukaa nimechoka ooh baby Sijamwona long time now, nimerudi toka mwezi jana Nimeshakwambia mama nimefika tangu mchana Anajua nimeshafika, ameshapika, amekasirika Alipika tangu mchana, ila sasa, lunch imegeuka dinner Chorus Nimechoka kupiga honi now (pii pii) hatuelewani (2x) Pii pii, nimechoka kupoteza time Nina siku nyingu kwenda home, I'm missing my baby Pii pii, hello baby, natamani niwe nyumbani Nimekwama hapa nijani kuna jam baby Aah aah, kuna jam baby Aah ahh, hello (3x) Verse 2 Unanikatia simu unanionea, wewe ungekuwepo ungejionea Unafanya hivyo unakosea mamaa Unanikatia simu unanionea, wewe ungekuwepo ungejionea Unafanya hivyo unakosea mamaa Nakuomba mpenzi ungojee, ni nijani naja niombee Nimeochoka nakuja tulee, huruma nionee Nakuomba mpenzi ungojee, ni nijani naja niombee Nimeochoka nakuja tulee, huruma nionee Hook 2x Nimechoka kungoja highway, nitapita popote mradi wee Ili kama ni kesi na iwe (hatuelewani) Chorus Nimechoka kupiga honi now (pii pii) hatuelewani (2x) Pii pii, move out of the way, nimechoka kupoteza time Nina siku nyingu kwenda home, I'm missing my baby Pii pii, hello baby, natamani niwe nyumbani Nimekwama hapa nijani kuna jam baby Aah aah (ooh), I love you so much Aah ahh, I love you Mama Aah aah, I love you Mamaa, ah ah ai Hook 2x Nimechoka kungoja highway, nitapita popote mradi wee Ili kama ni kesi na iwe (hatuelewani) 2x Pii pii, move out of the way, nimechoka kupoteza time Nina siku nyingu kwenda home, I'm missing my baby Pii pii, hello baby, natamani niwe nyumbani Nimekwama hapa nijani kuna jam baby 2x I love you so much, I love you Mama I love you mama (2x) My baby (6x)