Kwaya Kuu Kikosi Cha Injili - Twende Mbinguni Tukamlaki lyrics

Published

0 375 0

Kwaya Kuu Kikosi Cha Injili - Twende Mbinguni Tukamlaki lyrics

Twende Mbinguni Tukamlaki [Let Us Go to Heaven to Meet Lord] 1. Twende mbinguni tukamlaki Bwana hewani [Let us go to Heaven to meet Lord in the sky] Na huku tukiimba Hosana! Kwa milele. [While we sing Hosanna! for eternity.] (Chorus) Tutaimba (Hosana!) [We shall sing (Hosanna!) ] Tutaimba (Mfalme!) [We shall sing (King!) ] Tutaimba (Mtukufu!) [We shall sing (Glorius!) ] Tutaimba Mtakatifu! Kwa milele. [We shall sing Holy! For eternity.] 2. Tuwaamshe wafu wakamlaki Bwana hewani, [Let us wake up the dead so that they can meet Lord in the sky,] Na wafu hao ni wenye dhambi, ndugu. [And brethren, sinners are the dead.] 3. Tusichoke kuomba pamoja na kukesha; [Let us not tire praying and staying awake;] Siku itafika ya furaha. [The joyous day shall arrive.] 4. Ndipo tutaketi na Bwana huko mbinguni; [Then we shall seat together with the Lord in heaven;] Na huku tukiimba Hosana! Kwa milele. [That is while we sing Hosanna! for eternity.]