Kwaya Kuu Kikosi Cha Injili - Ninyi Watumwa lyrics

Published

0 299 0

Kwaya Kuu Kikosi Cha Injili - Ninyi Watumwa lyrics

1. Ninyi watumwa wa Bwana Yesu [You servants of Lord Jesus] Mkainue bendera yake [Go forth to lift high his flag] Kwa mataifa yote. [To all nations.] (Chorus) Acheni kusema, Hatuna nguvu, [Stop saying, We do not have strength;] Bwana wenu atawatia nguvu; [Your Lord will give you strength:] Acheni kusema, Hatupendwi, [Stop saying, We are not loved;] Bwana Yesu ndiye mpenzi wenu. [Lord Jesus is your Beloved.] 2. Makuhani wa Bwana Yesu [Priests of Lord Jesus] Kazi hiyo mmepewa, kumwinua [You have been tasked, To lift Him high] Kwa mataifa yote. [To all nations.] 3. Hata Shetani akiwapinga [Even though Satan opposes you] Bwana Yesu ndiye mshindi [Lord Jesus is the victor] Kwa mataifa yote. [In all nations.]