Kiche Legend - Angalia Juu lyrics

Published

0 209 0

Kiche Legend - Angalia Juu lyrics

CHORUS Shalom kwa mademu walioniangalia kwa chini Shalom to the Mbwigas walioniangalia kwa chini Shingoni sina kitu so hawakunithamini, Kichwani ndo iko madini, the sky is the limit Angalia Juu, (heeey) Angalia Juu, (so fly can you see me now) *3 Verse 1 Wanaulizana who let the genie out the bottle Coz since I been out its bottle after bottle Bottle after bottle after Bottle Si unajua mtoto wa mbwa tena nisha hit the lotto Champagne for all the pain the world bring Liu Kang for hizi kicks that I came in And I came in with the A team, Mbwiga we made it, Angalia juu AMEN 800 Thou na kaka zangu twagawana, Wahenga walisema undugu si kufanana ni kufaana Njoo ujiunge na chama, ujifunze kuona kwa urefu na mapana Bapa juu ya bapa juu ya bapa Chapaa juu ya chapaa, huna chapaa chapa lapa Ma brothers got my back kama ile logo ya kapa Kwa mademu wote cake hii leo ndo birthday ya Mwana. CHORUS Shalom kwa mademu walioniangalia kwa chini Shalom to the Mbwigas walioniangalia kwa chini Shingoni sina kitu so hawakunithamini, Kichwani ndo iko madini, the sky is the limit Angalia Juu, (heeey) Angalia Juu, (so fly can you see me now) *3 Verse 2 I told talk to the hands, ni crazy Muppets Spika zangu ziko deep, deeper than ya pocket Cheki wako shot, wamegusa socket Remember you blew me up, you wanna blow me get a trumphet Kwa sasa nawakilisha wakili wake wakala Mpesa ni hii wallet imetuna kama Kajala Majalala sikuwa hata na dala ya dalalala Asante sala Mbwiga now ninamake dollars dollars Doors open up I go to different stages, the legs open up yellow pages Snitch Mbwigas walk away, yellow pages Kila kutwa kula chips kwenye kazi domo zege Tunachoma Barberque Tunachoma Barberque Drinks pembeni, Pembeni swimming pool Tunachoma Barberque Tunachoma Barberque Music so loud, you know how we do CHORUS Shalom kwa mademu walioniangalia kwa chini Shalom to the Mbwigas walioniangalia kwa chini Shingoni sina kitu so hawakunithamini, Kichwani ndo iko madini, the sky is the limit Angalia Juu, (heeey) Angalia Juu, (so fly can you see me now) *3 OUTRO Icy in the house watch your mouth Agogo in the house watch your mouth Rocky in the house watch your mouth Mswati in the house, get you best get down Ronny in the house watch your mouth Kiche in the house watch your mouth Team Mbwiga in the house watch your mouth 909 in the house, we own this house