Khindy Joka - Medicine lyrics

Published

0 239 0

Khindy Joka - Medicine lyrics

It seems like my life dream have changed now I still intent on being a nurse pilot and doctor But the same field of medicine Verse:I Huh! wapinzani wanadai hili game gumu, kukituliza kitenesi Na mfano wangu si wakuigwa kama una roho nyepesi Wanajaribu batilisha ukweli kua kesi Wanifanyishe utumwa kwa utwana Kwa rehema zake nabadili hali mbaya kua njema Na hali njema kua bomba zaidi ya jana Niite King the Joka ndani ya pango mlima mbeya nachoropoka Nipishe nipite snitch, hii story ya kweli inakuhusu inaku-touch Hata hata kwa bila hizi kiki Kwa nn ni-puff cha kisizo? na naweza nika-puff the hole stik Chorus: Hii ndiyo dawa kwa ma-snitch na wambeya Hii ndiyo dawa, hii ndiyo dawa.... Hii ndiyo dawa....mmgh Hii dawa kwa dunia nzima Hii ndio dawa kwa ma-snitch na wambeya Hii ndio dawa, hii ndiyo dawa.... Hii ndiyo dawa....mmgh Hii dawa we call it medicine Verse:II Hiki ni kindimbwindimbwi Dunia imechafuka kwa haya mawimbi Masakubimbimbi wakachukua deal na kulipotezea jiwe la msingi Ona sasa wengi wangukia pua na refa anapeta tu, wala hapigi filimbi Ni busara wala si ujuzi unaohitajika zaidi Napata kutafakari ni jinsi gani nimefika hapa nilipo Wacha nimshukuru almighty Kwani nilipo ni njia ya wito Malengo yangu yapo katika kufika kwangu Nafika kuzimu na kurudi nikikuletea ushuhuda Hawawezi kutembea jinsi navyotembea na sintoacha hata kama wakivimba Nadhani ushanipata ni aina gani ya bunduki namiliki Hivyo unapoteza muda wako bure kunisakanya na huo mkuk-iiiiiiiii Chorus: