Khaligraph Jones - Punguza Kasheshe lyrics

Published

0 1473 0

Khaligraph Jones - Punguza Kasheshe lyrics

Ni ka tumekam na rende Niko na biz nasafisha Hizo beef mnachachisha Ni kasheshe So punguza kasheshe (Punguza kasheshe) Punguza kasheshe (Punguza kasheshe) Punguza kasheshe (Say punguza kasheshe) Punguza kasheshe (Kasheshe kasheshe) Punguza kasheshe Punguza kasheshe Beat inagonga proper inabaki naunguza madebe Past curfew bado niko nje ninazunguka na njeve Tenje nilisahau keja najua wife ashachunguza ma message Rat race tеketeke niko niko on toеs niki navigate Mi ni gangster we bado unangoja hawa mab*tch wakuvalidate ISIS leader venye hizi mabeat nazi terminate Convict utajuaje nilikuwa Inda miezi mbili Izi stori huwezi ka relate (Never) No wonder si hatufanani hata kidogo Opwondo bonga shonde uone vile mi nitakuchapa kisogo Ni ka tumekam na rende Niko na biz nasafisha Hizo beef mnachachisha Ni kasheshe So punguza kasheshe (Punguza kasheshe) Punguza kasheshe (Punguza kasheshe) Punguza kasheshe (Say punguza kasheshe) Punguza kasheshe (Kasheshe kasheshe) Punguza kasheshe Punguza kasheshe Beat inagonga proper inabaki naunguza madebe Past curfew bado niko nje ninazunguka na njeve Tenje nilisahau keja najua wife ashachunguza ma message Rat race teketeke niko niko on toes niki navigate Mi ni gangster we bado unangoja hawa mab*tch wakuvalidate ISIS leader venye hizi mabeat nazi terminate Convict utajuaje nilikuwa Inda miezi mbili Izi stori huwezi ka relate (Never) No wonder si hatufanani hata kidogo Opwondo bonga shonde uone vile mi nitakuchapa kisogo