Kenzo - Girl Like You lyrics

Published

0 244 0

Kenzo - Girl Like You lyrics

Intro yeah, ni DEP (hii ni collabo na Ogopa DJs) saa madame wote leo wata-snap fingers and do the step (hii ni collabo na Ogopa DJs) Chorus (Kenzo) Baby hakuna mwingine ninayemtaka namshukuru Mungu nimekupata nimenang'ana sana niwe namba moja I will never ever ever ever find another girl like you Verse 1 (Collo) kama penzi ni asali si mi ntamfuata huyo nyuki dowry ni bei gani samahani sikumbuki last time kukucheki bei yako ilipanda juu high cla** mschana unafaa kukuwa my baby boo mwaah, busu lako lanifanya niwe mahabusu keeper ashafungwa, ha hebu imagine uki-fuse na rapper usijali wee ndio naenda ku-introduce kwa matha au vipi Chorus (Kenzo) Baby hakuna mwingine ninayemtaka namshukuru Mungu nimekupata nimenang'ana sana niwe namba moja I will never ever ever ever find another girl like you Verse 2 (Collo) inakaa valentine's ita-come early this year wee ni mrembo una every right ya kujiskia juu roho yaumia I'm missing my baby punde akinirudia now we kissing like crazy bride leo ako tayari je ndoa inabisha so unitarajie wee ni partner mpoa so tufunge business Collo, yes ndio Mister and you are my Missus Chorus (Kenzo) Baby hakuna mwingine ninayemtaka namshukuru Mungu nimekupata nimenang'ana sana niwe namba moja I will never ever ever ever find another girl like you Verse 3 (Collo) Mwili yako ni ya hali ya juu si siri hata Beyonce has nothing on you machozi zitabidi zinamwagika Shakira akiona ukikatika juu tuna chemistry physique poa pia biology love lines undercover reverse psychology I'm sorry sita keep my distance usha-cause effect flani, man na mi ndio litmus Chorus (Kenzo) Baby hakuna mwingine ninayemtaka namshukuru Mungu nimekupata nimenang'ana sana niwe namba moja I will never ever ever ever find another girl like you Outro (Collo) saa madame wote leo wata-snap fingers and do the step mazee kuna always that one chick mazee one chick anafanya ma-love lines zinajaa akilini ka MP3 ki-DVD DEP lover lover coming through baby halla Chorus (Kenzo) Baby hakuna mwingine ninayemtaka namshukuru Mungu nimekupata nimenang'ana sana niwe namba moja I will never ever ever ever find another girl like you