Ken Ring - Mr. Vigeti lyrics

Published

0 90 0

Ken Ring - Mr. Vigeti lyrics

[Intro] Real talk eh! Kweli! [verse 1] Penye nia sikosi njia Na mambo ikisomwa kweli mi sikutosi dear Hawatoshi makali na plus hawatoshi beer Homie skia, homie skia Kila mtu anaulizia where Johnny be at? (sure) Ni-ondolee mambo ya usoni b*atch Hatufanyi maswala kama form haisomi ishia Hesabu wale walio tufanya mambo utaniskia Tuna-deal na watu real plus ma-phony pia Kwa kudra za Maulana ndio tunaishi Family mob-tu wamelala bila dishi Daily hustle machizi ng'ang'ana na mafisi Form fit hamkosi Kila mwisho wa mwezi Hide and seek na landlordy Kwani mother uliniachia laana Huyu brother amechanganikiwa kwa sana Bugia ma-prama! [Chorus] Kama kawaa Mr. Vigeti mi na kuwanga sawa Ever ready kama battery zile za Paka Pawa Machizi si-tushapagawa Nusa kahawa Ni hawa hawa Mr. Vigeti mi na kuwanga sawa Ever ready kama battery zile za Paka Pawa Machizi si-tushapagawa Nusa kahawa [Verse 2 Hata sijui ni blame uchumi Plus ………kutoka kwa dame ni sumni Siku hizi wale wanadungwa feh ni kumi Uhuru manze skiza hii story Watoto wadogo ndio wana akiza main glory (mbaya sana) Huku waki-glorify uhuni Look around you hakuna story ya uzuri (hakuna man!) Sijui nani nita-point kidole Mtu Fulani anakufa juu ya coins Kayole(imagine hiyo) Ishi maisha ya kobole(ehe!) Kumejaa asante ama my dear pole Juu ya tupesa kadhaa unakatakatwa Serekali ina-raid mitaa tuna-fuatwa fuatwa Una-uliwa kisha u-tupwa kwa taka taka (Woiii!) Mi mi nina piga magoti Kaa unani-skiza apana kunipita Sir-Gody [Chorus]x2 Kama kawa Mr. Vigeti mi na kuwanga sawa Ever ready kama battery zile za Paka Pawa Machizi si-tushapagawa Nusa kahawa Ni hawa hawa Mr. Vigeti mi na kuwanga sawa Ever ready kama battery zile za Paka Pawa Machizi si-tushapagawa Nusa kahawa