Ken Ring - Mama lyrics

Published

0 219 0

Ken Ring - Mama lyrics

[Intro: Vigeti] Aaaaaaaah! Haa (sigh) [Verse 1: Vigeti] Hii ni barua yako mama Mda mrefu tangu sisi hatuja onana Niki kufikiria machozi huwa yana ni bana Hope hivi karibuni si tutagongana Walai hata mi sijui nitakupea nini We ni zaidi ya mwanaume kunilea mimi Shida zote nimepitia umeniwekea msingi Na vile ma-………kubebea mpini Ume-determine yule mwanaume niko saa hii Alhamdulillahi asubuhi iko chai Nashukuru Mungu kwa kunipa mtu kama wewe Ulini guard ka vifaranga kumejaa mwewe Afadhali tukule ndio ulale njaa Wakati buda ana-kunywa-tu ma-barley bar Though maisha haya mtu huenda akapagawa Usijali mama mtoto wako ako sawa [Chorus: Alicios] Mama! Hakuna kama wewe Na yote uliyo tenda Mama! Nakukumbuka wewe Mwanao nakupenda [Verse 2: Vigeti] Mtoto wako amekuwa Tushukuru Mungu juu hapo hungenjua Wanataka-tu kunipeana Baada ya giza tu siku mpia imeaanza Wanaeneza uvumi kunihusu Mi ma-Judas Iscariot, wanataka kunibusu zi Usiseme eti mimi nimepotea Hii star yetu shindwa ni lini nitatokea Ushanitafuta sana nime-lostia madawa Ni na vuta prama Ma! Maisha ishaenda haywire Siku hizi mi naonanga kila day mbaya Najaributu ku-maintain Kuna maswala ndoto ndio ni stay sane Serekali kwa case yangu wana-ni-geh chase Nashindwa form ni gani! [Chorus: Alicios] Mama! Hakuna kama wewe Na yote uliyo tenda Mama! Nakukumbuka wewe Mwanao nakupenda [Verse 3: Vigeti] Mama, siku hizi wamekuwa wanyama Kila saa sio wale tulikuwa tunajua jana By the way na ku-miss tu Shish anakutumia ma-kiss through Anashindwa atakuona lini Ashakuwa mkubwa ana soma msingi eh! Ana-miss nyanya yake Hata kama mamake ali-diss baba yake mmh Mambo si sawa ile kitu inaharibu mtoto wako ni dawa Kusema ukweli mi na-regret Juu najua saa hii nafaa ku-live great Ni wengi hatuko nao R-I-P watu wako kwao Naomba Allah anisamehe Aniepushe na ni-msalah kila tarehe [Chorus: Alicios] Mama! Hakuna kama wewe Na yote uliyo tenda Mama! Nakukumbuka wewe Mwanao nakupenda Mama mama mama mama maaa! Hakuna kama wewe Tutaonana tena