Ken Ring - Cinema Ya Hora lyrics

Published

0 175 0

Ken Ring - Cinema Ya Hora lyrics

[Intro: King] Na Vigeti ako nami si utaskia tu vilio [Verse 1: Vigeti] Msela! Kapiela hana hata hela Ambia afande marufuku hatanipata jela Mi na-kula jasho yangu sinaendaga peras Tutapona vipi mchizi bila kusaka hela Cinema ni ya horror, vinena ni manjora Plus kidenga utaporwa Kwanzia January mpaka December ni Dandora Big-up big-up kwa watu wangu wote wa mtaani K-Shaka damu sote tumetokea mbali Kwa wote watu wamesotea ndani Twenty one gun salute yaani zote angani Kwa wote amani tutatokea wapi? [Chorus: King] Wee ni King kwenye game, si-utatega maskio Nicheki mambo nina cheki shega ausio So tulia utateremsha bega na uskie Na Vigeti ako nami si utaskia-tu vilio Jeshi yangu yote iko pande ya kushoto na kulia So ukikuja na speedy yako moto uta-umia Tumekuja biashara kwenye soko utatuskia b**h n***as wakileta mambo poko uta-umia [Verse 2: Vigeti] Achie…..zimefura over Achieng Abura Ukiona mbonge wee message achia Nyambura Uzuri wa manzi roho usimkatie kwa sura Name …….usoro wee niambie nitagura Propaganda zime-ganda proper Make it rain design ya Mbuvi aki-land na chopper Huku mahater kwenye city wakidandia Hoppa Swag balaa toka ndula chini mpaka toppa Straight toka choo hio ndio sh** nakupea Ambayo yamekorogwa plus na kick na snare Oh my God, oh my Jesus, yeah! Wanajaribu nguvu za giza mzeiya Order na bado Navuta powder na bado Navuka border …….. Na bado na……… Plus na sio kapuka We sio Muthoni Drummer Queen lakini Ndonga bado ndio nitakupa [Chorus: King] X2