Kalimani - Fall Back lyrics

Published

0 486 0

Kalimani - Fall Back lyrics

[Intro: Kalimani] Yeah, yeah... Kalimani Tha Mc... Nax.. Nax... Yo, yo, yo, yo... [Verse 1: Kalimani] Nimefika pitstop, kuangusha three tots Maradhi ni deep thought, kutibu nasing songs Literature na diphthong, kuchapa ma-sick poem Kupenda kustrip thong, addiction za deep throat Imebidi nime-voice the verse Madimoni akilini kuni-haunt na past Yo.. at a crossroads, nashindwa ni-offload Hizi dream za offroad, supper though ni boflo Twende go-slow, man tu-strike Ama tubaki tukizungushwa, left to right Yes, you right, nilijam, cause yes you left Kutembea na ma-duster ju ya mess you left Kijana prodigal, vikombe za forty bob Alikuwa holy Joe, sasa maisha horrible Mukimwongea sana this and that Hata energy hakuna for the dissing back So... Imebidi ame-grind kila way Chini kwenye goti ame-kneel aka-pray Ndeng'a no more, hakuna ndengu ku-spray The Lord on his side, hakuna tena ku-stray [Hook: Kalimani] Fall back (yeah, yeah) Get with the program Format your mind, accomodate the raw tracks Ni mizuka juu ya mziki, kuruka Kubonga juu ya life na maswala ibuka (X2) [Verse 2: Kalimani] Ka si pesa au biashara, nani tembea Rabbit alisema, ikabidi nimetenda Mwaka wa jubilee, mi nataka ku-receive Mic bila cord, ndio amani tu-preach Focus now, kwenye posters (blaoh!) Show za town na ma-dolby surround Kwa mifuko ma-brown, sura ndimu design Kama kofi ya karao, don't joke around Mafan hawaniskizi na bado mi niko busy Leavin' emcees with black eyes ni ka wana-date na Chris Breezy I represent the Rift, and I swear to never drift This is a recon, like you were dealing with a grifter Twice in your life, and you never learnt the first time I give it divine, I leave you to find Whatever it is that I'm talking about I'm more than a cloud that's pa**ing I'm walking about just spazzing I'm more than a thousand, times better than what you've been having Leta beef nifungue butchery Mortuary, zishone ju ya adhari Za rap zinazoleta hatari Kabla sijalipua washahepa sanctuary Sababu hizi sk**s huji-reveal [Hook: Kalimani] Fall back (yeah, yeah) Get with the program Format your mind, accomodate the raw tracks Ni mizuka juu ya mziki, kuruka Kubonga juu ya life na maswala ibuka (X2) [Verse 3: Kalimani] A lot of rappers dope in the industry...nope! They call themselves underground, but that is just hope That someone's gonna listen and in time they're gonna blow We end up with two fans and a thousand emcees in a show That goes to show vile si hujifanya mabro Kwa media but kindani unadhani we pekee ndio pro Naskia ni ka nachoka kubembelezana na hawa mafala Ndio imebidi nimebonga ndio tucheki kile wanaeza fanya Kama rap ni hobby, ju unaishi Nairobi Na eti station ni kibao, presenter ushapigia magoti Kutembea mtaani ukijidai vile uko sawa Na mabeshte ndio walishindwa kukuambia vile uko down Hii verse hai-address anyone in particular Lakini najua ushafikiria msee ndani ya kichwa Ama labda ni wewe, ndio ushajifikiria I call it as I see it at least umejijulia Yeah.... Fall back!