Kalimani Tha Mc - Masaa za Injury lyrics

Published

0 211 0

Kalimani Tha Mc - Masaa za Injury lyrics

Yeah... Kalimani Tha Mc... N.A.X.. Reign Music... Let's get it! [Verse 1] Boom shaka laka, ka ni rhymes I got a lot of them Naskia ma-rapper wana-rap kutafta providence All depends on the sense you put up on the dollar cent Dream za kibuda, na mikwanja adolescent All this is just another game to a bro like me All I mean, you cannot compare to the pro I be All I see, is a bunch of lames who can quote Ice T Nimechoka hii isht (mazeh)... Know what I mean? I'm bringing the future back This used to be my future track But now I'm giving this present for you to see how much my youth has pa**ed Truth is that I've been dope tangu enzi za Hoobastank Ulizia Tukizithrow wanasemanga tu kame-stank Speaking of which Flexx Master knows naletanga funk I'm breaking the beat Xcalibur ni bro na pia ni fan I'm flipping the script na lazima ni-flow na ma-design I'm still in the streets Mbazita ki-show kitajipanga [Chorus] Masaa za Injury Siweki featuring Kupeleka mbio wadhii watafute multi vitamin Huwezani na hii daddy Nakuja kwa industry Kufanya maajabu wadhii wadhanie ni matimoni! X 2 [Verse 2] Mimi nazimadanga kama Slobodan Milosevic ama ni butcherman Jovetic ama Superman... Supermatch kwa ma-supra Ndio unaskianga kamenuka una-feel ka utafyatuka Ujanja za maduka hugeuzwa fala shtuka Huyu jamaa ni mwanamziki ama kazi alikosa? Na naskianga pia ati anakuanga ka-reporter Ndiposa ye huchora vitu ka za Harry Porter Is all that in order? Si hoja Eti video zake huanga zimetwanga? Ati anaweza hit lakini amelala Ati akienda commercial anaweza fana Na wenye husema hivyo hata hawajafanya This is all me I don't need all y'all interpretation Sounding so basic How I should be dating Caucasian Amazing You always praise me When I'm there but behind my back you praise me [Chorus] [Verse 3] Ni kama sa wasee wanajibamba sana Wanafaa kukaa masaa Wasee wanapigangwa na manjora mpaka panga za wazee zinaletangwa Shoka zinatoka mpaka sa wasee wanaonelea kuomoka Beef imenichosha mpaka peace pia ni saucer The least unaweza nichocha kuniita beast imenitosha Kimziki mimi ni colder u-deady easily na pneumonia Niki-release hiki ki-Trojan, na instinct ya kimoda Oh my goodness I'm the realest on the playlist And if I'm not there then it must have been a gay list How can I say this? How can you debate this? From Earth to Uran*s this is greatness in your faces Kalimani Tha Mc I'm on my way Anybody wanna step up and see, how Imma play 'Cause it's time that you recognize me, how Imma slay 'em Na ni ninety zime-deady wadhii Sasa ni.. Sasa ni.. [Chorus]