@jusebeats - Champion lyrics

Published

0 321 0

@jusebeats - Champion lyrics

[Intro:K-hood Hoodboy] Its good idea to plan for your future all good boys and cute ladies in the hood you know For real nothing ever happens Emax better take your chance when it is now And when you strong inside you shine outside believe me snitches Emax amini we ni champion Na me am the champion [Chorus:Chelsea Davis (K-hood Hoodboy)] Am going hard tonight (Go hard tonight y'all) Am winning the fight (Winning the fight y'all) Cause i am a champion champion (uuuuuwiiiiiiiiii) [Verse1:K-hood Hoodboy] Sema go hard go hard aim higher Na sichaguagi kazi sioni haya Utatimiza ndoto zako au malengo yako As long as tu we ufanye yako Unaweza kuwa kama sista Lupita Nyong'o Unaweza kuwa kama Desmond Tutu Unaweza kuwa kama Moringe Sokoine Champions wa Africa ni Mwalimu Nyerere Na Mandela Kijana tafuta hela Piga mishe mishe mjini Dar ili upate kula Na heshima itakuja tu baada ya mpunga Yani baada ya kujituma sirudi nyuma Mama kanambia "Kijana wangu sikia Kidogo unachopata tunza kitakusaidia Pili kuwa na heshima Tatu usidharau Kwa sababu champion huwa hajisahau" [Chorus:Chelsea Davis (K-hood Hoodboy) ] [Verse2:K-hood Hoodboy] Mungu akupe nini? kakupa kila kitu Akili uwezo nguvu pia utashi na utajiri Kwa nini usipige kazi? Au kisa umepewa gari? Na momy au daddy ndo ulete jeuri! Am a champion kama Filbert Bayi Am a champion kama Mzee Uhuru Kenyata Am a champion kama Wangari Mathai Na sirudi nyuma limit be the sky Oliver Mtukudzi sign of a champion Na Lady Jaydee commando queen champion Malengo yanatimia ni kujituma na kuamini Kwani bila yeye hufiki mbali baba wa mbinguni Ishi maisha yako upuuzi usiuentertain Kuna wajinga wametumwa kutushusha chini Na amini usiamini tutabaki juu Kwani hakuna kinachoshindikana kwake ye aliyejuu [Chorus:Chelsea Davis (K-hood Hoodboy)] [Outro:K-hood Hoodboy] Anybody can be a champion of his own you know Tunapambana tunapigana kwenye maisha tufike kwenye kilele Trust in yourself and believe in yourself you can do anything you want you know Know that "you are the champion" [Chorus:Chelsea Davis (K-hood Hoodboy)]