Jp Johazi - Tetemesha lyrics

Published

0 412 0

Jp Johazi - Tetemesha lyrics

*It's high time people know their places... Kuna wasee wana-rap fast Na msee anaweza fanya hivi... Kalimani Tha Mc* [Verse One: Kalimani] Kuna vile inakaa ni ka Nitatengeneza ngoma ka mekanika Kitu kama miaka kumi ama thirty man Kwa party man Hatupendi ma-batty man Na ma-vida zime-shootiwa na handicam Makali system shinda Vatican Kalimani, ukitaka Kali-cash Na-pa** the dutch, kitu kama Amsterdam! (Praah!) Flow better than a water can of holy water With the kind of heat that'll make it a little hotter Spit it like two techs Send a message like two texts Better yet, two bells! Hakuna kitu nimebakisha kufanya ndio mjue nani mkali hapa Hali hapa, joh, ni kuchapa rapper mpaka afiche sticker na madigaga! Hii ni game ina elimination Communication inasema mpaka uwe patient Na motivation za kupata picha kwa Nation Radio station? Kwenye conversation Bamba kwa tenje, jazanga makapa walenje Hepa wasenge... Rwanda vacation! Hata waseme si watanyamaza wateme Bora kwa session mi nachapanga mpaka iishe Hata ikiwa nina pupa za kijana, spidi ni kirasta! Nabarikiwa tu na dua za Maulana mpaka ninastammer! Imeb-b-bidi... Nimech-ch-chizi... Kwenye b-b-beat hii... mpaka muni-feel... Nikiwa kazini, kama magaidi Ni kudrop bomb ka kikosi ya hewa! (Chorus) Natemesha... Natetemesha... Natengeneza ma-flow za twenty-kesho! Natetemesha... Natetemesha... Nateketeza kwa show, leteni mbesha! X2 [Verse Two: Kalimani] I know I sound kinda booshy, ain't it? Kazi ni kubamba kama movie deadly Hunipendi? Basi jua huniwezi Mafan wananipenda kama huu ni mwezi.. Ule wa kushikishiana makuku kenchiq Kuambiana eti shika munju baby Nduku seti, ndio useme huku-'sense hii,.. Vocabulary kama mbuku twenty! Fall back 'till am giving you seventy-seven? Eighty-seven? I don't know! If ever it's evident, heavily debted to me They be depending on heaven for benefits while I be getting better cheddar And everything! They speculating over who be the best Ni kama nimelala daro niki-drool kwa desk Who's the next in line kama queue za mess? Toka Nax hadi Budapest? Kalimani better be up on your playlist! Jo ni mbali tumetoka tuki-gain this! Kwani nani anadhani ana-weigh this? Heavy lines zinavunja mpaka weigh bridge! I'm banking on principles and this.. Load of sk** that'll make me your favorite! Nimengoja very long to be saying this Nimefika, sorry for the lateness! Hivi vipaza, tukivibamba? Fujo kwa sana... remedy bamba! Danger ki-mamba... tena visanga Nikijipanga... hater kwa mchanga! Niko busy kama business man Nimechizi kwenye thinking and... Nikijifikisha vicinity, visiting Hizi ni vitu zinafanya vichwa viruke easily! (Chorus) [Verse Three: Kalimani] Representer wa ma-five percenter Kenya Set the price any place unapenda Ndio ucheki vile sisi jo hu-bless kwa meda Dedicated tuki-face challengers Every way... the patience? We paid everyday! A verse a day keeps whack rappers away! Sinister ways they played to be famous and they... Got played out, now they be rotting away! Safe to say, I may make major pay Pop champagne, just to stop the pain.. That we feeling every day when we hustle to break... Just the feeling that we get from percussion and ba**... (hey) Speaking of confidence, nimejidunga overdose... Si ni obvious! They rock with us, they share the Ciroc with us Ni conc kwa gla** biggy ka Notorious! Little bit of this, and a little bit of that 'cause I k** 'em on a beat and I leave them looking whack! Hundred be the speed that we doing on a track Comin' with the heat is a feeling that they lack Hata limousine haiwezi fikisha idhaa Hata Sarkozy hawezi ongoza hii mambo.. Busy body wakifikisha ripoti, si ni ngori Kuwatori, kuwapigisha magoti! Who dare say anaweza do this? I dare say, toka nje... prove it! Ukiweza utakuwa number two in this Nawanyoa vichwa kavu kama budhist! Khaligraph, Voodooseller, Chiwawa, Nanoma.. Labda ndio compe, na bado ni noma Hizo ma-list nilichoka kusoma Na ka kuna dispute, eka kwa ngoma! *Na mnunue album... Square One!*