Jaya - RAUKA lyrics

Published

0 357 0

Jaya - RAUKA lyrics

Verse 1 (Juliani) Si Kosovo, si Darfur, si China, si US, si hapa home Sina options ningeulizwa ni-choose pahali kuzaliwa Bora uko www kuna taabu Si-exaggerate ka kunyoa ndevu Na lawn mower Pole 90 minutes celebrate Pole 9 months Si vile Kukata juice, si hiyo tu CO2 ina-contribute Youths Wanataka ku-have fun Temperature zikipanda uta-get burnt Chorus(Juliani & Jaya) (mummy) siendi huko (mummy) sitoki kwa tumbo (mummy) hata after 9 months kupita Heri nijinyonge na umbilical cord (mummy) siendi huko (mummy) sitoki kwa tumbo (mummy) hata after 9 months kupita Heri nijinyonge na umbilical cord Ni kubaya... Ni kubaya kwa mtaa Ni kubaya kuna njaa Ni kubaya Take care, tetea environment Verse 2 (Juliani) Ni jua imeshuka ama nimerefuka Hasara biashara ya jacket Maji kuvuka seashore El nino Mpaka doorstep Hatupitishi kitu kwa koo Napunguza shimo kwa plate venye nimekonda Hatutoi kitu kwa choo Kupanda miti kwa forest na bado factories Carbon dioxide kwa chimney Ni ka kuchanganya maji na sumu Hai-make co*ktail, kote Industrialisation Kamba ilifaa kututoa kwa shimo Inatufungia note kwa shingo Sitoki toki IMF, World Bank watokee Sitoki toki Take care, tetea environment Chorus(Juliani & Jaya) (mummy) siendi huko (mummy) sitoki kwa tumbo (mummy) hata after 9 months kupita Heri nijinyonge na umbilical cord (mummy) siendi huko (mummy) sitoki kwa tumbo (mummy) hata after 9 months kupita Heri nijinyonge na umbilical cord Ni kubaya... Ni kubaya kwa mtaa Ni kubaya kuna njaa Ni kubaya Take care, tetea environment Outro (Juliani) Niaje wazeiya Mi na-respond tu kwa cry ya mtoto wangu hajazaliwa akiniuliza Nini niko nayo nimemwachia ka inheritance Matym nilikuwa nadhani ni riches But nikakam nikagundua ni more than that, that dough inaweza buy AC, inaweza buy fan But haimpatii baridi Nikagundua kuna time zingine nilikuwa natumia basin mzima kuosha uso Saa zingine na-watch TV nikiskiza radio Na nikisoma gazeti at the same time Basically na-waste resources But saa hii nimeamua kurauka Rauka, ama hatuta-survive