Gosby - Naogopa lyrics

Published

0 246 0

Gosby - Naogopa lyrics

Artist: Gosby feat. Ommy Dimpoz Song: Naogopa Lyrics: Gosby and Ommy Dimpoz Produced: Nah Reel Intro Gosby, Swaghili, Na na Nahreel Ngwangwaliza ngwingwolola X 2 Ila sina noma mie, ila sina noma mieeeeeh Yebaaaaaaa Chorus – Ommy Dimpoz Nampenda penda ndo mana anazingua Siwezi muacha nataka niko naye Anaringa ringa na mahaba anayajua Kama pacha nataka niwe naye { Ndo mana} Ogopa mi naogopa kukuacha mi naogopa Ogopa mi naogopa ndo mana niko naye Ogopa mi naogopa kukuacha mi naogopa Ogopa mi naogopa ndo mana niko naye Verse 1 - Gosby Hivi we kwanini unataka vitu vingi hata nikisema no bado vitu vingi/ You want some more yani vitu vingi mapenzi gani haya yani full vitimbi/ Unanipeleka peleka ushanifanya mi pimbi/ I wanna buy shoes do you have some money/ I wanna buy clothes do you have some money/ Hivi we unadhani mi nafanya kazi gani/ Nikifoka unacheka/ nikisepa unadeka/ Nakukuacha sitoweza sijui kwa chupa ushaniweka/ Nikifoka unacheka/ nikisepa unadeka/ Nakukuacha sitoweza sijui kwa chupa ushaniweka/ Chorus – Ommy Dimpoz Nampenda penda ndo mana anazingua Siwezi muacha nataka niko naye Anaringa ringa na mahaba anayajua Kama pacha nataka niwe naye { Ndo mana} Ogopa mi naogopa kukuacha mi naogopa Ogopa mi naogopa ndo mana niko naye Ogopa mi naogopa kukuacha mi naogopa Ogopa mi naogopa ndo mana niko naye Verse 2- Gosby Huh Why you do that to me/ Tell me somethin' Why you do that to me/ We unaenda na simu bafuni/ Nakuambia kesho mi narudi saa kumi/ Nasikia unamabwana ka kumi/ Eti umesikia mi natoka na Umi/ Hujanipa tunda huu mwezi wa kumi/ Nilivyokua fala nakupenda tu mi/ Kama twitter nakufollow/ Hujaridhika na mi we mi hollo/ Unaona kwako mi niko dollo/ Nikiomba chezo hah tomorrow/ Huh Kama twitter nakufollow/ Hujaridhika na mi we mi hollo/ Unaona kwako mi niko dollo/ Nikiomba chezo tomorrow huh/ Chorus Nampenda penda ndo mana anazingua Siwezi muacha nataka niko nae Anaringa ringa na mahaba anayajua Kama pacha nataka niwe nae { Ndo mana} Ogopa mi naogopa kukuacha mi naogopa Ogopa mi naogopa ndo mana niko naye Ogopa mi naogopa kukuacha mi naogopa Ogopa mi naogopa ndo mana niko naye Bridge- Ommy Dimpoz I do I do it for you coz u ur my boo I do for you heeeh I do I do it for you coz ur my boo Chorus Ogopa mi naogopa kukuacha mi naogopa Ogopa mi naogopa ndo mana niko naye Ogopa mi naogopa kukuacha mi naogopa Ogopa mi naogopa ndo mana niko naye Outro – Gosby Nikifoka unacheka/ nikisepa unadeka/ Nakukuacha sitoweza sijui kwa chupa ushaniweka/ Nikifoka unacheka/ nikisepa unadeka/ Nakukuacha sitoweza sijui kwa chupa ushaniweka/ Ila sina noma mie